Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
kumbe ulikuwa hujui jamani hebu soma alama za nyakati utambue njoo pale LEO TENA PUB kuna mazoezi ya viungo na kuweka sauti sawa kwani tutakuwa na TAMASHA LA FURAHA siku ya 7/7/2013 hivyo njoo ujumuike ili nawe uwe miongoni mwa waimbaji bora siku hiyo, kwani chief judge Jiwe Linaloishi atakuwepo na mtunza hazina atakuwa watu8
aah hiyo tarehe 7 (tasa) utata hebu fanya tarehe 6/7 hiyo siku ya jumapili iko booked mpaka november 2013
jumamosi imetulia hata ukilipuka kesho yake ni kupumbuzika......