Watambue Waimbaji wa Chit Chat

Watambue Waimbaji wa Chit Chat

kumbe ulikuwa hujui jamani hebu soma alama za nyakati utambue njoo pale LEO TENA PUB kuna mazoezi ya viungo na kuweka sauti sawa kwani tutakuwa na TAMASHA LA FURAHA siku ya 7/7/2013 hivyo njoo ujumuike ili nawe uwe miongoni mwa waimbaji bora siku hiyo, kwani chief judge Jiwe Linaloishi atakuwepo na mtunza hazina atakuwa watu8
hapa.kuna nini jioni ya leo
 
Last edited by a moderator:
itabidi nikufundishe mpaka uweze ili nawe ujitegemee kama wenzako kwani wao waliwezaje nawe ushindweje? unaweza yote katika yeye akutiaye nguvu yaani Mungu soma efeso 3:14

duh! yaani umenifanya nishike bible aloo.. basi ndo nikae pembeni yako manake mi nachanganya sauti, mara ya tano, mara ya nne.
 
sasa mm ndo mwalimu wenu wa vocal itakuwaje tena ukae karibu yangu oky nitakufundisha mpaka utakaa kwenye sauti yako vyema bila hata kuhama key wala kushuka key na utakuwa katika range ya vocal yako, usikonde leo utakuja kwenye mazoezi ya vitendo?
duh! yaani umenifanya nishike bible aloo.. basi ndo nikae pembeni yako manake mi nachanganya sauti, mara ya tano, mara ya nne.
 
unajua mwalimu bora na mbunifu ni yule anayetambua kipaji cha mwimbaji na mwanafunzi wake hivyo kwa mara ya kwanza nilvyowaona nikawajaribisha mlinifanya moyo wangu uwapende na kuona kuwa kumbe wako wanafunzi wanaojituma katika nafasi zao na ndo mana nimewaweka muwe leader kwa wengine

asante sana kwa kunipa u leader
hongera pia kwa kutambua vipaji vya
wanafunzi wako,hakika utafrah kua na sisi!!
 
nimefurahi kunitia moyo kwako ndo kumenifanya niwaweke sehemu hiyo kwani mnajituma kikazi zaidi, halafu yako magroup mengine ni mavivu sana yaani hayataki hata kujituma hasa group la stevoh

asante sana kwa kunipa u leader
hongera pia kwa kutambua vipaji vya
wanafunzi wako,hakika utafrah kua na sisi!!
 
Last edited by a moderator:
Je mimi na hommie Asprin tunaweza kushiriki, na nafasi zetu zitakuwa ni zipi, wasaidizi wetu nk?
 
Last edited by a moderator:
sasa mm ndo mwalimu wenu wa vocal itakuwaje tena ukae karibu yangu oky nitakufundisha mpaka utakaa kwenye sauti yako vyema bila hata kuhama key wala kushuka key na utakuwa katika range ya vocal yako, usikonde leo utakuja kwenye mazoezi ya vitendo?
Passion Lady alinishika leo...alikuwa ananipa orientation ya mwanzo mwanzo ili kesho nisiharibu, ndo maana hata yeye hukumuona leo!
 
Last edited by a moderator:
mbona chief judge madam rita yeye ni mratibu, chief na ni mwongozaji na hata wanaotoa filamu nao ni hivyohivyo nami nimefuata nyuzi zao au unasemaje happo

tuachane na copy and paste tuje na mambo na mtazamo mpyaaa kama wewe unavyobadili kimava kila siku
 
Back
Top Bottom