Watambue Waimbaji wa Chit Chat

Watambue Waimbaji wa Chit Chat

ubuyu wa nini tena kwenye kuimba unataka watu watoke sauti za flog.jpg on the stage on the stage.jpg
sawa, ubuyu pia usisahau kuleta
 
oky usijali ila njoo kwenye mazoezi huwaone kwanza kabla ya tukio lenyewe halijafikia kwani itakuwa ni tarehe 7/7/2013 pale LEO TENA PUB kwa Mtambuzi na MSEJA
ladyfurahia mi ntakuwa Chief Judge.... kwa wale watakaoimba wanaweza kuiniona kwa mlango wa uwani ili niwape maksi za kutosha
 
Last edited by a moderator:
haya nitaifanya usijali kwani wengi hawataki kutoka wanajitahidi sana tena sana hasa huyu Heaven on earth na Passion Lady hawa nimewakubali sana wanafaa kuwa vocal leader wana sauti laini nzuri na wanajua kuvibrate utadhani ni mariah care hapa si mchezo
usijali ntakuja kuanzia tarehe 2 kwani wiki ijayo ntakuwa safarini.... anza kufanya short list
 
Last edited by a moderator:
huyu hapa s2.jpg ni mwalimu wa vocal toka Ghana nimemwambia aje awaweke sawa makoo yenu hasa Filipo, na Arushaone wao wanaimba kilughalugha sana utadhani wako arusha arumeru yaani ni kichaga tu sasa tutaelewa vipi kama ni neno la kiswalhili wao wanaweka kilugha jamani kufundisha kazi nzito
 
Last edited by a moderator:
Wera wera weraaaaaaa...... Familia nzima ya Mr. watu8 na Mrs. wake Mearson. Full vipajiiii...... Utatutaka thatha!!!!"

Ded: Wenye wivu wajinyonge by Nani vile nimemsahau kidogo mtamalizia.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nakuja mazoezini ila niwakute warembo wote wa chitchat.

Kwa kuwa wote ni wangu.
 
haya nitaifanya usijali kwani wengi hawataki kutoka wanajitahidi sana tena sana hasa huyu Heaven on earth na Passion Lady hawa nimewakubali sana wanafaa kuwa vocal leader wana sauti laini nzuri na wanajua kuvibrate utadhani ni mariah care hapa si mchezo

Heaven on earth na Passion Lady hawa mi nawakubali sana kama huyo PL nishawahi kumwona kipaform wallah siku hiyo wakware watatangaza nia... time will tell
 
jamani hii thread ni ya upako na yenye mafunzo na yenye mazoezi mema na ushuhuda, hivyo hizo picha zenu zisizo na ushuhuda hapa mziondoe haraka kabla sijamwambia Invisible jamani naweka msisitizo mapema kabla ya hatari kutokea au bomu la nyuklia kutua hapa

am so sor sis.. But mimi ni nduguyo mabomu watupie akina kabanga kwa kumleta yule pepo kwa thread yako
 
Last edited by a moderator:
haya nitaifanya usijali kwani wengi hawataki kutoka wanajitahidi sana tena sana hasa huyu Heaven on earth na Passion Lady hawa nimewakubali sana wanafaa kuwa vocal leader wana sauti laini nzuri na wanajua kuvibrate utadhani ni mariah care hapa si mchezo

bora umeliona hilo aunt
watoto tumejaaliwa sauti ya
kumtoa nyoka pangoni,tukiimba
sauti ka vinanda,kweli na tupewe
nafasi ya vocal leader kabisaaaa!!halafu Jiwe Linaloishi
safari zako hua haziishi swahiba?!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom