Watambue Waimbaji wa Chit Chat

Watambue Waimbaji wa Chit Chat

hivi wewe Mentor mwalimu msaidizi uko wapi ona huku wanafunzi wanatuma vitu ambavyo havileti ushuhuda hapa nawe unawakodolea mimacho bila hata kuwaonya jamani unafikiri kazi hii ini yangu pekeyangu ni yetu sote
 
Last edited by a moderator:
pole kweli nilikuona ulivyojituma siku hile ya kwanza ya zoezi hivyo nimeandaa asali mbichi utakunywa kwenye zoezi lingine na kama unapendelea chumvi utalamba kidogo ondoa shaka napenda mtu anayejituma kwenye nafasi yake na siio huyu mkorofi Bujibuji

Bujibuji hajui kuimba
halafu mvivu kama nini!!
 
Last edited by a moderator:
itabidi ajifunze kupiga drum maana naona kidogo hapo ataweza kwani ni mkorofi wenzake wakiimba yeye huanza kuwatekenya ovyo halafu wakicheka yeye anakauka utadhani akufanya jambo hilo jamani sijui nimfanyeje mie huyu Bujibuji

Bujibuji hajui kuimba
halafu mvivu kama nini!!
 
Last edited by a moderator:
ikifika zamu yao nitawakanya ni bora umeomba msamaha nimekusamehe bure usirudie tena ila ukija kesho kwenye zoei=zi utakimbia mara 7 ukumbini halafu utajumuika kwenye mazoezi na wenzako usinunue trouzer ziko tayari zimeshaandaliwa na amu

sawa mwalimu, shikamoo...
 
hee makubwa haya tena jamani mnataka kukimbia kwenye mazoezi nyie tabia hiyo mmeanza lini tena, ngoja nitembee na bakora yangu halafu getini nimweke mlinzi Mwita Maranya awakague pale pale
leo si utakuja mazoezi njoo na hayo mashairi tu........
tukipata chansi kidogo tu tunamtoroka choir master wetu ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
halafu huyo kijana uliyemtaja Erickb52 ni kaka yake binamu kwani mm ni kaka yangu kabisa wa tumbo pacha iweje tena ajichimbie naye jaman, ila sio kosa lako kwani hukujua wewe sisi ni ndugu na huwa hatuna katabia ka kuoana sisi kwa sisi au naongopa baba mkubwa watu8?
eti Lady doctor umemuona wapi jamani au ndo amejichimbia na huyu
kijana Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom