Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
wewe utakuwa choirmaster na mimi mweka hadhinaNilikua natengeneza sauti..
Nilienda kwanza kwa mama kuchukua mayai ya kienyeji
wewe utakuwa choirmaster na mimi mweka hadhinaNilikua natengeneza sauti..
Nilienda kwanza kwa mama kuchukua mayai ya kienyeji
hahahahahahaaa huyo si nanihiiii..............!!!!!
huyu nae nani....?
![]()
na tena unikute naimba taarab utanitaka wengi hudhan mie ni Nasma Kadogo(rip) kwenye kuimba lol!
Kwenye mazoezi nilikuja
tatizo ni foleni ya bongo
kabla sijafika muda wa mazoezi ukaisha
nikaamua kurudi zangu hapa hotelini
tupangie tena muda mwingine wa mazoezi
iwe walau asubuhi kabla ya saa moja.
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
wewe utakuwa choirmaster na mimi mweka hadhina
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
ladyfurahia mbona mazoezi nilikuja ila tatizo mwimbaji mwenzangu sweetlady akanitorosha kabla sijafika maozezi
[/QUOTE]Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
me nita poromosha sauti ya malege de lugendo..unamjua lady??
Hilo pozi la kumbatio la kiuonni nilichukua almost half an hour kumfundisha ladyfurahia jinsi ya kukumbatia........
Sauti yangu humtoa nyoka pangoni hata babu Asprin analijua hilo
hapo nikijituma
View attachment 98944
huyo chini sijui atakuwa nani vile
Nilikua natengeneza sauti..
Nilienda kwanza kwa mama kuchukua mayai ya kienyeji
hahahahahahaaa huyo si nanihiiii..............!!!!!