love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,595
- 3,089
Integration and Configuration model: In majority of software project, there is some software reuse.Kuna mdogo wangu. Yeye chuo kasomea law Ila anafanya programming kwa sababu ndiyo anapenda. Mpaka Sasa ana vyeti 12 vya programming languages ambavyo amejisomea online mwenyewe. Anatengeneza apps from scratch.
Jamaa mleta mada alivyosema hao contractors wake walichukua template wakaedit nikakumbuka huyu dogo alienda kwenye kampuni moja wakamweleza kuhusu kazi moja ya website ambayo 'IT' wao alikuwa anafanya. Dogo kuiscan akagundua ni template imeeditiwa mpaka source akawapa, hapohapo wakampa mkataba wa partnership.
Reuse-oriented approaches rely on a base of reusable software components and an integrating framework for composition of these components.
Hakuna ubaya wa kuchukua template kama software unayotengeneza inaruhusu kufanya re-use hata darasni wanafundishwa.