MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,018
Wasomi wa Tanzania wamejikita zaidi kwenye ufisadi.
Kama fisadi Ridhiwan alivyojikita kwenye kampuni zake za Lake Oil na Lake Gas!
Wasomi wa Tanzania wamejikita zaidi kwenye ufisadi.
Nafasi akupe nani? wasomi wanahitajika, wapigane! haki haiombwi inapiganiwa. Sema wasomi kwa sabau kwa kiasi furani wanashiba, hawapo tayari kuwapigania wengine, wachoyo.,waoga, wanafiki,we si ulimsikia VC wa UDSM alivyokuwa anasifia mswaada wa katiba mpya hao ndo wasomi wetu.Wasomi hawapewi nafasi, zaidi ya kupigwa mabomu. Kwani we hujashuhudia mabomu vyuo kikuu???
tupo hapa jf tunasuppy maujanja ili wadanganyika kama kina ritz waweze kuijua kweli!
unadhani kukaa na kubuni kuandika pepa za kuomba funds kwa wazungu inatosha? Kanumba alipokufa kuna watu kama 20 na zaidi ajira zao zimeyeyuka. Msomi kaaajiriwa na anatengeneza tu liability kwa taifa kutikana na uchakachuaji anaoufanya kila mara... Fikiria pande zote