Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
I mentioned engineering field as an exampleI can predict; majority of people you are talking about here are men
Wanaume are better at Maths and Science
And us women are good at language.
It is what it is,
Engineering field is dominated by men,
giving them language tasks ni kuwaonea,
huu ni uongo mbona wachina hawajui kiingereza lakini wana uwezo
lugha utajifunza tuu hata nje ya Carrier yako... issue ni kichwani zimo!!?, ulichofundishwa umekielewa!?... hicho kiingereza ni kama kachumbari tuu...
Umeshauriwa utupe na "for foreign audience version" ya bandiko lako la kwanza kwenye uzi huu.Nipe mfano wa technical English na fluency english
HapanaNsona unamsema jiwe.
Kiingereza ni kujua kanuni ya S+V+O huku ukiweza kuzijua vema aina kuu mbili za uumbaji sentensi kutokana na nyakati. Pia Ukishakuwa na uelewa wa maneno magumu 1000 tu ya kiingereza, tayani umefuzu.Umetunga uongo mtupu kutetea mauzauza. Maana ya fluency English ni uwezo wa kuongea na kuandika Kingereza sahihi, kilichonyooka kwa urahisi. Kila mtu aliyesoma na kumaliza chuo kwa Kingereza anapaswa awe fluent bila kujali amesoma sayansi, biashara, arts
Uelewa wako ni mdogo, wachina wanatumia lugha gani kufundishia?huu ni uongo mbona wachina hawajui kiingereza lakini wana uwezo
Wewe binti utatekwa shauri yako!Hahaa simsemi mtu miee
Ohh
Shida inaanzia chini sio juu, shule ya msingi ni miaka 7, na kingereza tunasika kama somo na tunatoka kapa. Lakini english course miezi 3 ukiweza si haba utaelewa na kuzungumza kiasi.Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Hebu njoo PM basi unitongoze kwa Kiingereza ili tujue uwezo wako wa kukiandika!Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Hata kwa waingereza hii inaaply?I can predict; majority of people you are talking about here are men
Wanaume are better at Maths and Science
And us women are good at language.
It is what it is,
Engineering field is dominated by men,
giving them language tasks ni kuwaonea,
You mean English can make some people poorIQ ya mtu haitegemeani na KIINGEREZA. Jifunze lugha inayotumika katika mazingira yako kiukamilifu hapo utafanikiwa.
ZIMBABWE, KENYA, MALAWI NA ZAMBIA WANAONGEA KIINGEREZA KIZURI ILA NI MASKINI WA KUTUPWA!
wanatumia kichina na wewe uelewa wako ni mdogo, unadhani kwanini kiswahili hakitumiki kama lugha ya kufundishia.Uelewa wako ni mdogo, wachina wanatumia lugha gani kufundishia?
Few Tanzanian citizensTanzania fifth term general election took place on 28th October 2020
The contestants were Honorable john pombe magufuli from the ruling party cham cha mapinduzi..and honorable tundu Antipas lissu from from the opposition party (chadema).
According to few Tanzanian citizens interviewed,the election was considered as "unfair"
At least I can try