Wasomi na kiingereza

Wachina hawasomi kwa Kiingereza, lugha yao ya kufundishia ni Kichina cha mandarin.Ila ukikutana na wachina walioamua kujifunza Kingereza wako fluent sana.
Hao hawasomi kwa kiingereza ila somo la english si wanafundishwa na lengo la kufundishwa hilo somo la english ili wajue kiingereza?
 
Ile BA haina technical terms?,Ile Bsc.Maths wantumia numbers Na signs Pekee,we are talking of coherent and lucid thinker with years of formal learning and with a well defined language of instruction.
mkuu nimekuuliza ni yupi anatumia kiingereza kingi kinachotumika kwenye mazungumzo ya kawaida. Mfano huyo mtu wa hesabu ana deal na namba tu, hicho kiingereza cha kumshinda mtu anayesoma history muda wote anatumia kiingereza tena kinachotumika mtaani anakipata wapi. Mtu wa history mitihani yake yote ni kuandika assay tu mapage na mapage huwezi kulinganisha. Labda huyo mtu awe anasoma nje ya nchi ambapo atapata muda wa Ku practice english na watu wa mataifa mengine.
 
Kaka mkubwa elimu ya tanzania ukishaipata tu ujue tayari ubongo wako usha expire,ni elimi ya vyeti sio ujuzi,huwezi kumpa ujuzi mtu kwa lugha ya tatu au nne!!usanii tu
 
Tunaweza jadili hili suala usiku Na mchana lakini swali kuu Ni: miaka Zaidi ya Tano unasoma taaluma Fulani Kwa lugha Fulani,lakini huwezi itumia Ile lugha kuonyesha umahili wako Kwa hiyo taaluma?Basi ata ulichokisoma Ni cha kutiliwa Shaka kama unakifahamu?
 

 

 
"is you coming or no"

😅
 
Jamaa wa ng'ambo ya magharibi wameishachafua sana fikra za baadhi ya watu wa kizazi hiki!!!Tuna kazi ya kutosha kuwanyoosha hawa jamaa zetu baadhi!!!
 

Kiingereza ni muhimu sana kukifahamu ila
Kwa nchi sio inshu
Kiiivyo
Maana
Tunaudumia wabongo wenzetuu tuu
 
Hiyo sio sbbu... Sababu ya msingi ni kwamba tunasoma shule ambazo walimu wetu hasa wa somo la Lugha nao hawajui kiingereza matokeo yake ni kwamba anaefundishwa na yeye anakua hakui kitu.
 
Hiyo sio sbbu... Sababu ya msingi ni kwamba tunasoma shule ambazo walimu wetu hasa wa somo la Lugha nao hawajui kiingereza matokeo yake ni kwamba anaefundishwa na yeye anakua hakui kitu.
Ila katika mazingira hayo hayo ya kufindishwa lugha na waalimu wasiojua kiingereza bado huwa wanapatikana wanafunzi wenye kukijua vizuri tu kiingereza,sasa kama tatizo ni waalimu hawa wanafunzi wengine wamewezaje kujua kiingereza hali ya kuwa waalimu wenyewe hawajui hiyo lugha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…