Wasiwasi Mwabulambo toa ukatuni wako PB

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Tangu Gerald Hando aondoke Clouds huyu jamaa Wasiwasi amechukua nafasi yake kwenye Power Breakfast. Anachoendeleza ni ukatuni na mizaha tu yaani hata haelewi nini cha kufanya. Linachekaacheka tu na kumfanya Barbara awe na kazi ya ziada. Hivi hawa watangazaji Clouds inawaokota wapi?
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,232
4,042
Nimeshaacha siku nyingi sana kuisikiliza hiyo radio. Wana utoto mwingi sana. Kuna issue ambazo ni serious lakini wao wanaziongelea kimzaha mzaha.
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,895
3,392
we mwita25 tulifikiri umesusia jf eti nape hajakulipa
kwa hilo nakuunga mkono,mtoto hajui kuongea yule utoto mwingi kwenye sauti,hana mvuto
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,609
7,808
Btw, Gerald Hando amekwenda wapi? Ameacha Clouds for good au ni kwa muda tu? Kwa ujumla kipindi kimepwaya sana kwa kukosekana kwake (and Wasiwasi is not helping.....yeye anafit zaidi na wale 'wenzie' wa jioni).
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Btw, Gerald Hando amekwenda wapi? Ameacha Clouds for good au ni kwa muda tu? Kwa ujumla kipindi kimepwaya sana kwa kukosekana kwake (and Wasiwasi is not helping.....yeye anafit zaidi na wale 'wenzie' wa jioni).

Gerald has left for good, I'm told he's planning to open a night club.
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
power breakfast now days ni kipindi cha MATANGAZO

BABRA HAMNA KITU..na uzungu wake kaz kuwakaripia wenzake km watoto weweeee acha ...wewe unatafuna nin...afu asome matangazo bas ngoma inaisha apo

PJ akija na magazeti yake ya CHAMA ...basi kamaliza....yaan akuna kitu kwa kwELI...sjui hawana muda wa kutafuta MADA zenye mashiko?

yaan wapo wapo tu matangazo meeeeeeeeeeeeeeeeeng na mda si mrefu watu hawataleta tena matangazo cz kipind kitakosa wasilkilizaji as t used 2b

babra dada yangu acha uswangilsh mama,....ebu ingia kunako matabu,mamtandao na uongeee na watu wenye knowledge mbalimbali ili upate UFUNUO bin ufahamu wa nini cha kufanya ..issue gan inahiti mjin apa..uisimamishe vp hoja...uitetee vip...uwavute hadhira vip ili wawe na wewe sambamba lakin kwa swaga za sasa ivi za kuwa MWALIMU WA NIDHAMU wa kipindi cha breakfast mmh m worried km unapanda au unashuka....

tok 2pipo wenye ufahamu zaidi yako juu ya fani yako

penda kusoma na kuwa mdadisi m sure utakuwa bomba tu...cz kaz iyo inamtaka mtu asiwe mvivu wa kudadisi na kusoma mavitu meng ili uwe na fact na ujue meng...

me love u babra ili punguza u do kazin..ongea LAFUDHI ya kiswahili izo swaga za koktail za mhh u know...yaan kiswahili km kingereza azipendezi

HONGERA KWA KAZI NZURI....wasiwasi ana wasiwasi bado gve hm tym atarecover....pj niaje babu..arsenal wamefanyaje?

kesho kuna mpambano kati ya majimaji na man u plss pj nina tiket yako....man u washatua tz
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,893
7,196
Nani mwenye akili mule clouds sasa? mtu pekee niliyekuwa na heshima kwake alikuwa Chrispiani kama mtayarishaji enzi hizo za kina kipanya na fina, na sasa hivi kama Ndege bado yupo, wa njia panda.

wengine wote ni vichekesho tu.
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,893
7,196
hhhheee! rose bana, mbona umeandika kurasa tatu..........mebata ushungu sana na hawa vibaraka wa ccm nini???

hawa mabwana nilishaacha kusikiliza kabisa. unatoka home, 15 min later hujasikia kitu zaaidi ya matangazo na mziki nusu.........utafikiru kipindi cha BANGO tbc.
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,434
Nimeshaacha siku nyingi sana kuisikiliza hiyo radio. Wana utoto mwingi sana. Kuna issue ambazo ni serious lakini wao wanaziongelea kimzaha mzaha.
Mmenikumbusha mbali sana, hii redio bado inarusha matangazo?
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
Gerald has left for good, I'm told he's planning to open a night club.

yaan km hando kasepa dahh sijui nan atainua tena pale labda wamchukue dj feee fet ..ahh kanaonekana kana mashiko kichwani..kanajua meng so ni swala tu la kumwambia akili zako wekeza ki pawa breakfast na sio XXL TENA ...m sure katainua show..

wale watoto wa XXL ingawa kipind chao ndo ivyo shangwe mwanzo mwisho lakin wanaonekana wanawaza na wanafanya kaz zao kwa umakin..wangekuwa vilaza pia kipindi kingedoda tu..wanakukuruka kutafuta info related to XXL thats y kipind chao kinameremeta..hongeren XXL

MINAIPENDa SANA CLOUDS....bt wwatu wachache now days wanataka kuitransform clouds to sand radio fm..na itashuka mchangan kwel

ahh minaona raha saa 3-7 full raha dina pale kat gea pemben zam na DA HUUUUUUU...raha tupu

then xxl afta apo nazima radio yangu mpk keshoooooooooooooooooooooo cz najua YAFUATAYO ni xo xox xxxxxoooqxoooox!!!!!!!!
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,895
3,392
power breakfast now days ni kipindi cha MATANGAZO

BABRA HAMNA KITU..na uzungu wake kaz kuwakaripia wenzake km watoto weweeee acha ...wewe unatafuna nin...afu asome matangazo bas ngoma inaisha apo

PJ akija na magazeti yake ya CHAMA ...basi kamaliza....yaan akuna kitu kwa kwELI...sjui hawana muda wa kutafuta MADA zenye mashiko?

yaan wapo wapo tu matangazo meeeeeeeeeeeeeeeeeng na mda si mrefu watu hawataleta tena matangazo cz kipind kitakosa wasilkilizaji as t used 2b

babra dada yangu acha uswangilsh mama,....ebu ingia kunako matabu,mamtandao na uongeee na watu wenye knowledge mbalimbali ili upate UFUNUO bin ufahamu wa nini cha kufanya ..issue gan inahiti mjin apa..uisimamishe vp hoja...uitetee vip...uwavute hadhira vip ili wawe na wewe sambamba lakin kwa swaga za sasa ivi za kuwa MWALIMU WA NIDHAMU wa kipindi cha breakfast mmh m worried km unapanda au unashuka....

tok 2pipo wenye ufahamu zaidi yako juu ya fani yako

penda kusoma na kuwa mdadisi m sure utakuwa bomba tu...cz kaz iyo inamtaka mtu asiwe mvivu wa kudadisi na kusoma mavitu meng ili uwe na fact na ujue meng...

me love u babra ili punguza u do kazin..ongea LAFUDHI ya kiswahili izo swaga za koktail za mhh u know...yaan kiswahili km kingereza azipendezi

HONGERA KWA KAZI NZURI....wasiwasi ana wasiwasi bado gve hm tym atarecover....pj niaje babu..arsenal wamefanyaje?

kesho kuna mpambano kati ya majimaji na man u plss pj nina tiket yako....man u washatua tz

du!!hapo umemaliza kila kitu
vipi kuhusu wale wa jioni na kibonde wao!!kwa kweli sioni kwa nini wako pale,umbeya wanaopiga pale hauna mashiko!
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
hhhheee! rose bana, mbona umeandika kurasa tatu..........mebata ushungu sana na hawa vibaraka wa ccm nini???

hawa mabwana nilishaacha kusikiliza kabisa. unatoka home, 15 min later hujasikia kitu zaaidi ya matangazo na mziki nusu.........utafikiru kipindi cha BANGO tbc.

haha hahah ..ndo manake....kwan we ujui
nina hasira nao kiduchu si sana ndo mana nimejikuta tu nafunguka kaka yangu...unasomekaje lakin?
 
CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,910
we mwita25 tulifikiri umesusia jf eti nape hajakulipa
kwa hilo nakuunga mkono,mtoto hajui kuongea yule utoto mwingi kwenye sauti,hana mvuto

Labda ndio maana wazazi wake walimbatiza jina la Wasiwasi (WHAT A NAME).... I hope sio mtoto wa Marehemu Wilson Mwabulambo....huyu alikuwa chuma na ni mmoja wa wanafunzi wa UDSM waliogoma mika ile 1960s akaambulia mboko za Mwalimu JKN
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
du!!hapo umemaliza kila kitu
vipi kuhusu wale wa jioni na kibonde wao!!kwa kweli sioni kwa nini wako pale,umbeya wanaopiga pale hauna mashiko!

ahh jahaz lilikuwa zaman bwana
shemej gadna alikuwa anainua kipindi then kaka kibonde anakiitop up kidogo bas raha tu
siku izi ahh akuna kitu ..awana hoja kazi kupeperusha tu umbea wa vijiwen bila kuudadisi km una ukweli ama lah...
wanatangaza wanachotaka kutangaza bila kujali km ni kweli ama lah
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,434
na wewe ndo utakuwamchojoaji kwenye club hiyo
Mchojoaji maana yake nini? nakumbuka zamani mchojoaji sisis kwetu ilikuwa ni mvua nguo za ndani, kama umemaanisha hivyo mtake radhi Mwita sadhani kama anachojoachojoa hovyo kwenye ma-night club lazima atakuwa na mtu wake pamanentli wa kumchojolea
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom