Wasira: CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,281
Reaction score
3,955
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV

"CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM anaweza kukutwa, na hiyo sio CCM. CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia. Lakini mwana-CCM mmoja anaweza kukutwa na hatia, na huyo halindwi na CCM, kwa sababu sisi hatukumtuma kwenda kufanya chochote huko."- Amesema Wasira

kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, ndio huko sasa.

well done Stephen Masatu Wasira 🔥
 
Hili zee lina njaa sana.
Baada lipumzikee liwachie Vijana bado linapambana na miaka 80+.

Mzee Mpumbavu sana huyu.
Ni hasara kubwa mno kwa Taifa.

Wakazi mwambie Baba yako apumzike awaachie vijana.
Jamaa ni yeye tu tangu enzi za Mwalimu.
 
..chama kilichounda serikali na kinachoisimamia ni Ccm.

..kama Ccm haitaki kubeba lawama basi kuwaadhibu wanachama wake walioshindwa kusimamia serikali.

..haiwezekani vyombo vya dola viuwe wananchi kwa mamia halafu Ccm kiwe chama pekee kilichoshindwa kukemea na kulaani.

..Na hapo ndipo dhana ya kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama, na Rais, inapopata mashiko.
 
Hivi leo amekumbuka kufunga vifungo vya Koti lake vizuri?
Mzee Wasira hua anaeleza mambo ya msingi tu gentleman hayo mengine nadhani itapendeza zaidi mkideal nayo wenyewe 🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV

"CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM anaweza kukutwa, na hiyo sio CCM. CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia. Lakini mwana-CCM mmoja anaweza kukutwa na hatia, na huyo halindwi na CCM, kwa sababu sisi hatukumtuma kwenda kufanya chochote huko."- Amesema Wasira
Mgambo wanaruka na kukanyagana.....
Cc Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom