Wasira asumbuliwa na maandamano ya Chadema

Hakuna cha Cheo kidogo, Mbowe mbona hana cheo chochote cha kumzidi Wasira..au basi Waziri Kivuli wa Chadema, Mbunge wa Mbulu, aje amjibu Wasira ili itifaki izingatiwe..
Kuna sababu gani ya kujibu crap broda?
Ulipata chochote cha maana alichoongea yule mbabu?
Toka MWAnzo hadi mwisho anaongelea umwagaji wa damu...anapata wapi mambo hayo?
 
Nashindwa kuelewa, hutamjibu?
Mbona tayari umeshamjibu, ila tofauti ni kwamba hujjibu hoja yake..

Mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe mtachanganyikiwa mwaka huu, kila mtu ni CDM tu, Chayo, Dk.Mrema, kafulila, lipumba kesho utasikia Dovutwa na mziray
 
namsubiria Mtikila sijui nae atakuja na nni.....................
 
Mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe mtachanganyikiwa mwaka huu, kila mtu ni CDM tu, Chayo, Dk.Mrema, kafulila, lipumba kesho utasikia Dovutwa na mziray

Ni vyema, na asilimia kubwa hawaitakii mema Chadema. Ni suala la Chadema kuwa makini zaidi pamoja na kukubali kuwa wanaweza kukosea pia, as long as we are living, we should keep learning how to live... hivyo tusitoane macho Ndugu, wote destination yetu ni moja....
 
Siku zinahesabika, Watz watakombolewa!

Wewe na wapuuzi wenzako ndio mnahitaji kukombolewa kifikra.

Mmepumbazwa na kuleweshwa pumba za mazezeta, wahuni wa kisiasa.

Mnataka kuleta ustaarabu wenu wa porini katika Tz ???

Kamwe, kamwe kamwe. Wazalendo wa kweli hatutakubali upuuzi huu. Tupo hapa kuilinda tz kwa gharama yeyote.

Mtashindwa kabla hamjaanza, wataka shari wakubwa nyie.

Muda si mrefu hizo fyoko zenu zitawarudia.

Acheni ulimbukeni, siasa haziendeshwi hivyo!!!
 
Too harsh of you Great Thinker..

Tafakari, chukua hatua.
 
Hiri rijamaa ririkose njia!

Riritakiwa riwe kure ganakoripuka mabomu,

au turi perereke sasa turibadirishe na mumunyange?

Maana rinafaa kweri kweri kureeeee kwenye maskadi.
 
Wewe na wapuuzi wenzako ndio mnahitaji kukombolewa kifikra.

Mmepumbazwa na kuleweshwa pumba za mazezeta, wahuni wa kisiasa.

  • :rain:

Mnataka kuleta ustaarabu wenu wa porini katika Tz ???

Kamwe, kamwe kamwe. Wazalendo wa kweli hatutakubali upuuzi huu. Tupo hapa kuilinda tz kwa gharama yeyote.

Mtashindwa kabla hamjaanza, wataka shari wakubwa nyie.

Muda si mrefu hizo fyoko zenu zitawarudia.

Acheni ulimbukeni, siasa haziendeshwi hivyo!!!
Hebu eleza sasa zinaendeshwaje...je ni kama siasa za ccm?
 
huyu wasira hata taswira yake ina autata .... kama kapagawa vile
 
Nashindwa kuelewa, hutamjibu?
Mbona tayari umeshamjibu, ila tofauti ni kwamba hujjibu hoja yake..

Kamjibu nini? Ama kweli wewe kilaza.

Nampongeza Mwenyekiti wa CDM kwa uamuzi wa kutomjibu huyo juha na wanaJF wengi wametoa sababu nyingi za kwa nini CDM wasifanye hivyo. Majuha wengine hawana sababu ya kujibizana nao; hivi unategemea nini ukijibizana na mtu kama Sophia Simba? Jibu unalo mwenyewe.
 
Nataman cku moja nimwone "kishongo"anaweza kuwa na sura ya kutishia watoto watundu kama ya w...ra!
 
Kuna sababu gani ya kujibu crap broda?
Ulipata chochote cha maana alichoongea yule mbabu?
Toka MWAnzo hadi mwisho anaongelea umwagaji wa damu...anapata wapi mambo hayo?

Hivi hajui umwagaji wa Damu huwa chanzo chake ni kuwa na serikali isiyo makini na isiyo wajibika kwa wananchi wake serikali ambayo inawanyonya wanchi i mean awpiga kura wake ndio itakayo fanya umwagaji damu sasa sielewi kiongozi kama wasira kuongea bila kuwa na facts anataka kutulazimisha tukubali hoja finyoooo zisizo na afya kweli anatutizama kama wajinga pale Tarime tu ndio kiboko yao hayajayaona ya kwao anajifanya hajui kitu kinaitwa haki kwa raia leo ukidai haki yako waitwa mhaini jamani khaaaa

Nina orodha ya top 3 ya viongozi bogus CCM....
1.Makamba
2.Wassira
3.sophia
 
na wewe b'mdogo wa makamba c uwe hata unafkiria kbla ya kujibu? Au ndo h'band keshakuambukiza uDomokaya? Shame upon you!! Kubwa jinga!
Wewe na wapuuzi wenzako ndio mnahitaji kukombolewa kifikra.

Mmepumbazwa na kuleweshwa pumba za mazezeta, wahuni wa kisiasa.

Mnataka kuleta ustaarabu wenu wa porini katika Tz ???

Kamwe, kamwe kamwe. Wazalendo wa kweli hatutakubali upuuzi huu. Tupo hapa kuilinda tz kwa gharama yeyote.

Mtashindwa kabla hamjaanza, wataka shari wakubwa nyie.

Muda si mrefu hizo fyoko zenu zitawarudia.

Acheni ulimbukeni, siasa haziendeshwi hivyo!!!
 
mbowe baba tuko pamoja watachanganyikiwa sana mwaka mpaka kieleweke hakuna kulala
 
Wewe na wapuuzi wenzako ndio mnahitaji kukombolewa kifikra.

Mmepumbazwa na kuleweshwa pumba za mazezeta, wahuni wa kisiasa.

Mnataka kuleta ustaarabu wenu wa porini katika Tz ???

Kamwe, kamwe kamwe. Wazalendo wa kweli hatutakubali upuuzi huu. Tupo hapa kuilinda tz kwa gharama yeyote.

Mtashindwa kabla hamjaanza, wataka shari wakubwa nyie.

Muda si mrefu hizo fyoko zenu zitawarudia.

Acheni ulimbukeni, siasa haziendeshwi hivyo!!!
Sikujibu chochote nakupuuza.
 
Back
Top Bottom