Wasira asumbuliwa na maandamano ya Chadema

Yaani namtazama huyu babu kwenye marudio ya mahojiano yake na TBC ambayo nadhani yalikuwa kipindi maalumu, lakini hata sijaelewa anaongea nini. Sidhani kama anaelewa mabadiliko ya kifikra ambayo wananchi wanayo
 
Kinachomfanya awe na wasiwasi ni nini? Kama utendaji wake ni mzuri, wananchi watampa credit
 
avatar38244_1.gif
Get out the state house mate. Slaa wants to help you. you real proved felier . By the way what are doing in Paris. They gona give some power?
 
Mhhhhh Wasira??? huyu huyu Tyson au kuna Wasira mwingine? Yaani Mbowe hajakosea. Kumjibu Wasira ni sawa na kumfukuza kichaa aliyekuibia nguo mtoni. Achaneni naye nyie lisongesheni, akisema baba mkubwa JK ndo mnaweza kujibu sio hawa vidagaa.
 
Sisiemu watakuwa wanalala wanaota chadema tu, kila akiibuka huyu ni kuishambulia cdm,
Wow!!! CHADEMA wamekuwa ma-celebrity aisee.....!
 
Nashindwa kuelewa, hutamjibu?
Mbona tayari umeshamjibu, ila tofauti ni kwamba hujjibu hoja yake..
 
Ni mbabe sana yule mkurya, aNAONGEA UTADHANI NDIYE RAIS!
Nimaamuzi mazuri sana kumdharau, ili ajifunze kwamba alipoteza wakati wake, na wenye akili wamemdharau...alaaa!

nasikia alianza kuwa waziri in 70's. Ameshafanya uwaziri ni kazi ya mazoea.
 
Eti CCM wameshinda kura milioni 5, huyu Wassira vp? Wameshinda au wameiba? Angesema wamekwiba tungeelewa. Sura kama nyama ya ******.
 
Hakuna cha Cheo kidogo, Mbowe mbona hana cheo chochote cha kumzidi Wasira..au basi Waziri Kivuli wa Chadema, Mbunge wa Mbulu, aje amjibu Wasira ili itifaki izingatiwe..
 
hii inamaanisha cdm hawaongei na mbwa.. wanaongea na mwenye mbwa!!! loooh nimeipenda sana hi
 
Back
Top Bottom