Bukutonaga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 246
- 46
Wasira na Mrema hawa wazee wanazeeka vibaya kumbe watu wakihubiriwa ukweli hamtaki nyinyi CCM maana hata Mrema Lyatonga ni CCM maisha magumu yamemtoa kwenye upinzani, Jaribuni kukaa muone ni wapi ninyi mko tofauti na wenzenu ila ni ngumu maana nyie mpo kimaslahi zaidi na wenzenu Chadema ni ukweli kwa kwenda mbele,Kwa taarifa hata wananchi wamechoka muulizeni Chiligati alipotembelea Maswa mkutano wake alipata watu wangapi na Chadema walivyo fika walikuwa na Nguvu ya Umma kiasi gani! temeeni muone siyo kupita tu ndani ya Ma-VX mnaona watu wanawapenda kama ni Kitumbua kimejaa mchanga NO LONGER mtaondoka ila wasira najua ww ni hamahama utachapa Lapa na kuwaachia kina Kingunge na Jumba lao Bovu.:A S 13: