Wasira asumbuliwa na maandamano ya Chadema

Huyu Wassira a.k.a Tyson ni mpuuzi kwelikweli.

Yaani CCM wanashindwa kuelewa maana ya UHAINI kweeeri mura???
Hivi KUIKOSOA SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI KWA MADUDU INAYOYOTUFANYIA WATANZANIA NI UHAINI KWEERI MURA TYSON???
Hivi kusema kuwa DOWANS wasilipwe ni UHAINI mura?
Kuhoji mambo ya UFISADI,MGAWO WA UMEME,MABOMU YA G/MBOTO,HALI NGUMU ZA MAISHA,KUDORORA KWA UCHUMI WETU ni UHAINI KWEERI MURA???

Mura Tyson hapa umechemka. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubaliana na pumba zako hizi. Wewe huna tofauti na M/kiti wako Kiwete aliyekiri kuwa CCM tangu enzi za Mjomba wako Nyerere mpaka sasa mmeshidwa kumaliza matatizo ya Wananchi!

Kwa hiyo CHADEMA wanaposema CCM mmeshindwa kuongoza na hivyo mnapaswa kukaa pembeni msikasirike Mura.
Nakushauri mura Wassira ukakae na Kiwete mpange mikakati ya KUWAONDOLEA KERO WATANZANIA na siyo kupanga namna ya kuwadhibiti CHADEMA. Wananchi wanajua ukweli uko wapi. Kwa hiyo acheni longolongo na siasa za kizamani. Hii ni dunia mpya inayotaka mabadiliko na mageuzi ya haraka ili kufikia malengo na maendeleo waliyojiwekea watu.

Hatutaki ubabaishaji. Wazungu wanamsemo unaosema kwamba,nanukuu,''If you can't stand the heat, get out of the kitchen.'' CCM inaonesha kuwa joto limewalemea, hivyo tokeni jikoni maana hamtaweza kuendelea kuwapikia Watanzania chakula kilichoiva na kitamu. Mking'ang'ania kukaa jikoni mtaendelea kupika vyakula vibichi visivyokuwa na ladha!
 
CCM imekuwa chama cha upinzani bila kujijua. Wamebakia kujibu hoja za CDM badala ya kufanya kazi ya kuongoza nchi.

Kweli ukizoea mipasho ni hatari manake inapokuja suala serious huwezi kulitatua. sasa mawaziri wote, wanasiasa wa ccm na vibaraka wao badala ya ku-address issue zinazowasumbua wananchi ambazo kimsingi ndizo wanazoongelea CDM wanakimbilia kulalamika kuwa CDM wanataka kupindua nchi!!
 
Nakumbuka ili kauli ya Slaa kuwa mtu akikutukana mwangalie geuka nyuma ondoka.Hilo ni tusi kubwa mno. Big up Mbowe si kila mtu anastahili kujibiwa hasa anaye jiumauma uma kama Stephen Masatu Wasira. Wanakiri wenyewe sheria inaruhusu mandamano, haohao wanataka kuyazuia. Wanataka watu wandamane kupongeza ongezeko la nauli za daladala?
 
jipu dawa nikukamuwa naukitakakumsaidiya mwenyejipu usiwenahuluma wakatiwakulikamuwa ataapigekerere ndokuponakwake kamuwakwakwendambele
 
Sasa huyu Wassira aks Tyson ana jipya gani??

Amesahau kuwa ailkuwa mwanamageuzi mkubwa ila tu sema mambo yalimshinda. Njaa mbaya sana, akajisalimisha ccm tena. Na watu wa aina hiyo ya Tyson huwaambii kitu na ccm, si wako dk za lala salama!!??
 
ni kweli hapo tyson yuko sawa kabisa. Na huyo slaa ataishia kupokelewa kwenye maandamano ili ajisikie kama ni rais lakini ikulu hatakanyaga ng'ooooooo. Kwanza hana adabu

Kaongea uongo gani?? And who are you?? Slaa ataingizwa ikulu na wananchi, we bakia kujidanganya tu. Kama sio Slaa atkua mwana CDM mwingine au unafikiri CDM ni Slaa peke yake?
 
Mtikila natumai ataaunga mkono maandamano na kuwashangaa wale wanaopinga kama kweli wana nia ya dhati kuikomboa nchi kutoka kwa MAFISADI CCM!!! Mchezoo unazidii kunogaa...
 
unajua viongozi wa tanzania wanajua watanzania wanaogopa sana vita hivyo wamekuwa wakiutumia uoga huo kuendelelea kutawala mfano miaka ya mwanzo ya vyama vingi nakumbuka ITV iliwahi kurusha kipindi siku chache kabla ya uchaguzi kipindi kikionyesha vita ili watu waogope kuwachagua wapinzani eti wataleta vita.haya yanayoendelea ya kina kikwete 'wassira ,sofia ni majaribio ya kutaka wananchi waamini kwamba cdm wanavuruga amani ili wao waendelee kutanua na kuendelea kututawala hata kifkra na kwamba ni lzm tuwachague wao.
 
Maoni yangu kwa TBC1, Kwa kuwa TBC1 ni chombo cha umma kinachoendeshwa na kodi zetu wana-CCM
Wana-CDM na wengine wenye vyama na wasio na vyama. Awali tunashukuru kwa TBC1 kutuonesha upande
mmoja wa sarufu kuhusu sakata hili yaani CCM. Tumemsikia Rais JK na pia tumemsikia Waziri Mh. Wassira.

Ili tupate balanced information tunaomba pia muuite upande mwingine wa sarafu i.e CDM ili nao tuwasikie
wanasema nini kuhusu tuhuma hizo walizoelekezwa na CCM. Kumbuka ni haki yao ya kimsingi na kikatiba kama
walipa kodi pia kama chama kikuu cha upinzani TZ.

MOTO ya TBC1 ni UKWELI NA UHAKIKA, tunaomba basi TBC1 mfanye hivyo ili Watanzania tuweze kuchambua
pumba ni zipi na mchele ni upi kati ya CCM v CDM

The balls is in your court TBC1, failure do so you know its consequencies
 
waandamane tuu na serikali ikae kimya ebo hata vilaza wataongea kwa hili na hatutashangaa kuona wasemaji weengi watakaochemka na kulipuka yetu masikio na mijicho
 
Hivi hili lizee lilishawahi kutibiwa maradhi ya akili.................... Yaani hawa CCM na mizee yao wanashindwa kuelewa kuwa tatizo siyo CDM ila ni Watanzania wenyewe. Mbona hii hali haikutokea 2006 ila inatokea leo. Kwenye history inasemekana kuna watu ambao wako nyuma kidogo kwenye evolution ya mankind for some thousands of years (wana history msaada).................. ila nafikiri ni pamoja na hawa wazee wa CCM na kizazi chao!!

 
Anajikomba tu manake wakati wa Mkapa alichezea rhumba sana mpaka akawa anakula kwa mama ntilie pale Mikocheni Business
 
...Hatutamjibu Waziri Wassira!

Angekuwa Rais Kikwete, au Waziri Mkuu, tungemjibu!
Lakini Wassira hatutamjibu kitu...., kwa maana kuwa ni mtu mdogo mno!

Hiyo ni kauli ya Mwenyekiti wa CDM, Mbowe kuhusiana na Kipindi kilichorushwa LIVE jana na TBC1, wakiwa wamemwalika Waziri Wassira, anayehusika na Mahusiano.

Rejea kipindi live cha jana!:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-na-maandamano-ya-chadema-2.html#post1687385

Good. Mbowe don't urgue with......people might not notice the diference.
 
"Hatuwezi kukaa kimya kuona eti kwa kuwa ni wapinzani wafanye wanavyotaka. Kuna mipaka yake, wakiendelea watakutana na mkono wa dola na wasije wakatulaumu."

Hatuwezi kukaa kimya kuona eti kwa kuwa ni watawala wafanye wanavyotaka. Kuna mipaka yake, wakiendelea watakutana na nguvu ya umma na wasije wakatulaumu!!!
 
Kumbe CHADEMA iko juu namna hiyo! That is great! CHADEMA news is good news and saleable. There is nothing wrong in this except in Tyson's eyes. People's Power!
 
Huyu naye kafulia kisiasa, mwanzo mwisho lawama kwa chadema hana mambo ya msingi ya kutueleza anampumbaza ambaye ameshaelimika? kweli hapo alichemka! Labda u-handsome unamsumbua!
 
Back
Top Bottom