Wasira asumbuliwa na maandamano ya Chadema

hata ukupiga domo lako kama la kiboko watu noooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Swali zuri sana Gerrad ,Mie tatizo la msingi ninaloliona ni vigezo(qualifications)zakuwapata hawa Mawaziri Mkwere anakuambia "Uwaziri hausomewi"Mabadiliko ya Katiba ni muhimu ili Mawaziri waajiriwe kwa vigezo Stahili.We angalia Waziri anayehusika na Uhusiano wa Jamii anaitwa Tyson,Je unajua kwanin alipewa hili jina?Such a person ataimarisha Mahusiano au kuyaangamiza kabisa ukimtizama tu unaogopa hapo hujamsikia akiongea,anayoongea hayana Diplomasia hata tone zaidi ya vitisho na ubabe.Nimwambie tu hichi Kizazi cha Leo hakitishwi kinahitaji m2 anaeongea kwa Busara na Hekima na pia anayetoa mwanga kuhusu future Yetu na sio kututisha.

Anaitwa Tyson kwa sababu ni mgonvi kwa tabia kwani nasikia mara kadhaa ameshawakunja wenzake ofisini, pili sababu kuu ni uchaguzi wa 2005 pale alipoweza kutembelea wajumbe wote wa CCM wa kanda ya ziwa na kuweza kuwashawishi kuingia kwenye kundi la JK na sio Sumaye na ndio maana alipewa asante ya uwaziri na wakati JK alipokuwa anatangaza Baraza la mawaziri 2005 alipofikia jina lake basi alitamka kuwa wizara inashikwa na Tyson.....Wassira, kuhusu sura yake naona nyie muna wivu wa kike kwani jaribuni kwenda kule Bunda muone anavyotesa na vimwana wakijita
 
tuungane wote kwa pamoja kuitetea tanzania iliyoporwa toka kwa mabeberu wa ndani.
 
Kiukweli hawa watu ni kama maandamano ya CDM yamewachanganya vibaya mno!!! Nimemsikiliza Sophia Simba Channel 10 badala ya kuongelea alichoitiwa studio mambo ya siku ya wanawake duniani anaanza kuwashambulia CDM!!! That is shame!! Halafu amekiona cha moto maana mtangazaji alivyoruhusu simu yule mama ameshambuliwa na kila mtu aliyepiga simu studio! Bado hamjifunzi tuuu....
 
chipansee,baboon,hyena?

Scooby Doo! Mwanangu aliniambia ana sauti kama ya Scooby. Wasira ndivyo alivyo. Ana hasira, majibu makali ya hovyo na atamtetea JK hadi tone la mwisho la damu yake. Najua hata yeye haamini wala hamaanishi yale alookuwa akiyatetea jana. Aliwahi kuwa mpinzani na tulimsikia. JK amembadilishia sana maisha. Ni mmoja wa wanamtandao masalia. TBC1 walikosea tu kutomwalika mtu kama John Mnyika pale. Mzee angekimbia studio.
 
Wewe unategemea Wasira atasema mazuri ya Slaa? Si ameshitukiwa na wananchi wa huko kwao kwamba alimnunua mchadema ili apete ubunge? Anachunguzwa pia na ikithibitishwa anapandishwa kizimbani. Huko kuropoka kwake ni panic control mechanism.
 
Alo uyo jamaa mbona hana tofauti na wenyej wa hifadhi ya igombe kigoma? Aloo ccm ni nyeus ivo! Yan haina sura ya kibinadam, uyo akpewa uwazir wa ulinz, anatua bila huruma! Dah anatsha mpaka tv haionesh vzr.

Tukubaliane tu kuwa alikuwa anazungumza pumba ila swala la sura yake lisiwe issue plzzzzzzzzzzzzzzz.
 
anadai slaa ni kinara wa kusema uongo nchni

ni kweli hapo tyson yuko sawa kabisa. Na huyo slaa ataishia kupokelewa kwenye maandamano ili ajisikie kama ni rais lakini ikulu hatakanyaga ng'ooooooo. Kwanza hana adabu
 
ni kweli hapo tyson yuko sawa kabisa. Na huyo slaa ataishia kupokelewa kwenye maandamano ili ajisikie kama ni rais lakini ikulu hatakanyaga ng'ooooooo. Kwanza hana adabu

"....i don't agree with even a word of what you say but i will forever fight for your right to say"--Me to You
 
Kiukweli hawa watu ni kama maandamano ya CDM yamewachanganya vibaya mno!!! Nimemsikiliza Sophia Simba Channel 10 badala ya kuongelea alichoitiwa studio mambo ya siku ya wanawake duniani anaanza kuwashambulia CDM!!! That is shame!! Halafu amekiona cha moto maana mtangazaji alivyoruhusu simu yule mama ameshambuliwa na kila mtu aliyepiga simu studio! Bado hamjifunzi tuuu....
ni presha juu juu,,,,ofisi hazikaliki!!!!!
 
Wewe unategemea Wasira atasema mazuri ya Slaa? Si ameshitukiwa na wananchi wa huko kwao kwamba alimnunua mchadema ili apete ubunge? Anachunguzwa pia na ikithibitishwa anapandishwa kizimbani. Huko kuropoka kwake ni panic control mechanism.

....it might be true!!!
 
Back
Top Bottom