Swali zuri sana Gerrad ,Mie tatizo la msingi ninaloliona ni vigezo(qualifications)zakuwapata hawa Mawaziri Mkwere anakuambia "Uwaziri hausomewi"Mabadiliko ya Katiba ni muhimu ili Mawaziri waajiriwe kwa vigezo Stahili.We angalia Waziri anayehusika na Uhusiano wa Jamii anaitwa Tyson,Je unajua kwanin alipewa hili jina?Such a person ataimarisha Mahusiano au kuyaangamiza kabisa ukimtizama tu unaogopa hapo hujamsikia akiongea,anayoongea hayana Diplomasia hata tone zaidi ya vitisho na ubabe.Nimwambie tu hichi Kizazi cha Leo hakitishwi kinahitaji m2 anaeongea kwa Busara na Hekima na pia anayetoa mwanga kuhusu future Yetu na sio kututisha.
Kwa sababu Dr. Slaa ndiye rais wa ukweli.Amejadili hotuba za dr.slaa badala ya kuijadili ya jk kama Tbc1 ilivokuwa imepanga. Labda mnisaidie hotuba ya rais walimaanisha rais yupi?kila k2 slaa slaa! Sasa rais ni nan jaman?
TBC1 Wanaruhusiwa kakaa na nyara za serikali(sokwe) bila ruhusa/kibali cha wanyamapori?
huyu mwandishi hajui kuhoji au ndo mambo ya tbc? Anauliza ujinga na wasira anajibu ujinga.
anajibu kuwa anapigiwa simu na watu wa Bunda kuwa wana hofu ya kupotea amani...ujinga mtupu..
anasema magazeti ya tanzania yanatafuta soko kuipamba cdm
Anasema hawana mamlaka ya kusema wala uwezo wa kumtoa rais madarakani
TBC1 Wanaruhusiwa kakaa na nyara za serikali(sokwe) bila ruhusa/kibali cha wanyamapori?
Unafikiri kwa kuwa Katiba haijasema umma unaweza kuondoa Serikali madarakani ndo mfanye mtakavyo umekwisha bora uanze kurudi kijiweni kwako Msasani maana huna mvuto hata kuongea tu.Wasira tunaujumbe na kwako, angalia Libya, Egypt na Tunisia. Ben Ali, Mubarak na sasa Gadhafi wananchi wa hizo nchi walipata wapi uwezo wa kuwatoa. Maybe Wasira hana television si aende Ikulu kuibia au nyumbani kwa Rostam. UN na mataifa yote kinajulikana wazi wananchi wasiokutaka kama wewe mchakachuaji unaondoka anytime. Alikuweka wewe Kikwete ni nani? Kura hukupata na credibility huna...Wasira inaonekana kweli ufahamu wa demokrasia huna kichwani.