Wasira asumbuliwa na maandamano ya Chadema

Anapiga porojo tu. Eti Chadema wanafanya uchochezi tu,eti wanasema "peoples power, peoples power wapi?" Kazi kweli kweli
 
Aloo pipo mnamwona huyo wasira anavyoiogopa CDM? jamaa anahanya ile mbaya! Aache hasira, anafaham takwimu sahih ya wafuas wa sasa CDM? Mbona hazungumzii yalotokea na yanayotokea libya na Misri na majibu ya Tunisia? Wasira pole sana!
 
Anasema Chadema wanawatia hofu watanzania!!Hivi Watanzania wangekuwa na Hofu wangeenda kwenye Maandamano?Hapa mwenye hofu ni nani!!
 
anajibu kuwa anapigiwa simu na watu wa Bunda kuwa wana hofu ya kupotea amani...ujinga mtupu..
 
CCM wasikae wanalalamika, watekeleze ahadi zao ili CHADEMA wakose cha kuzungumza. Vinginevyo wataendelea kuogopa vivuli vyao na wananchi hawata waamini wanacho kihubiri.
Peopleeeeees Poweeeeer!
 
CDM tuendelee na maandamano km kawaida! Mwendo mdundo, nyomi ya Mwnz, Mara, shy na Kahama inawapa homa kali, wanaogopa! Tusisitishe! Arusha lin mnakuja?
 
Eti wapinzani wana nafasi bungeni. Amesahau kuwa Spika hayuko fair. Mizee mingine bwana kwanini hata halitaki kustaafu siasa yaani tangu 1970s yupo tu
 
Alo uyo jamaa mbona hana tofauti na wenyej wa hifadhi ya igombe kigoma? Aloo ccm ni nyeus ivo! Yan haina sura ya kibinadam, uyo akpewa uwazir wa ulinz, anatua bila huruma! Dah anatsha mpaka tv haionesh vzr.
 
Hivi kazi ya wizara yake ndiyo hiyo? Mbona inaonekana kama anafanya kazi ya Tambwe na Makamba (political ranting/spinnings) kwa gharama za kodi yetu!
 
Itv naomben mwandae kpind maalum kuonesha maandamano yanayoendelea kwa kuendeshwa na CDM. TBC wakiona CDM wametisha wanajfanya kuandaa vpnd maalum! ITV, channel 10 waosheen kwa kuwaonesha ukwel uliomo mioyon mwa Wa Tz.
 
Back
Top Bottom