Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Mwenye profile ya PREMI atuleteee
alizaliwa wapi
Kakulia wapi
wazazi wake akina nani
kasoma secondary wapi
kasoma University wapi
First degree alisomea nini
dissertation yake ilihusu nini
Masters kasomea wapi
Thesis yake ilihusu nini
Alipata vipi kazi foreign
Kwa reference ya nani?
Alifanya kazi idara gani pale
Na alifanikiwanini pale
Tangu aingie ikulu kashafanya lipi la kuweza kumpa sifa
Je kashawahi kuandika any journal article yoyote ile ?
IQ yake ni ngapi?
Kaolewa?
Ana watoto wangapi?
Je ana background yoyote in media?
Relationship yake kikazi na wenzake ikoje alipokuwa FOREIGN na sasa IKULU?
Is she capable au ndio kabebwa bebwa tuu?
Can she survive in private sector?
WHY IS SHE MISLEADING THE PRESIDENT KUHUSU HILI SUALA LA WEBSITE?
Jamani hii Ikulu vipi mbona watu wanaandamana sana. Sliding-roof nahisi sana amewahi kufanya kazi Ikulu, kwa maana anataarifa za ndani sana ambazo mtu yeyote asingekuwa nazo. Pili picha za sliding roof ni picha ambazo mtu hivihivi hawezi kuwa nazo isipokuwa mfanyakazi wa zamani wa magogoni ambaye amewahi kufanya kazi na Premmy pamoja na Salva. Eniwei, Premmy na Salva watuletee website yetu bana, si wameshakula hela?