Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Account ya Kikwete kwenye Facebook haiendeshwi na yeye, yuko mtu pale ambaye ndiye shughuli yake. Mpaka miezi michache iliyopita alikuwa dada mmoja hivi, sina hakika kama bado anaendelea au amebadilishwa. Kwa hiyo hata ukiandika ujumbe ukajibiwa si yeye anayekujibu ni mtu mwingine ambaye amepewa jukumu hilo.
Website ni muhimu kuwepo, kinachoonekana kuwa tatizo ni huyo Salva. Yeye kama mkuu wa mawasiliano anatakiwa awe "sura" ya serikali katika mawasiliano, mikutano na waandishi na mambo kama hayo. Nina wasiwasi mkubwa na uwezo wake kiutendaji hasa ufahamu wake kuhusu public relations.