Kinachoendelea ni hiki:
MICHUZI kama kawaida ana update website yake, na siku akiamka vizuri huweka hizo video za mheshimiwa rais
FREDDY MARO yeye naona naye anapiga picha
KURUGENZI YA MAWASILIANO (premi et al) wao wamekuja na hiki kitu
IKULU BLOG | Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais
sasa cha kujiuliza hivi hii kurugenzi ya mawasiliano hutengewa kiasi gani kwenye budget yao?
maana mimi sioni kama hiyo the so called website inastahili kuitwa website
na how hard is it for these guys kuwa na youtube channel ili videos na speeches za rais ziwe online?