Watu wakiuliza uhalali wa teuzi hizi tutawaona wana wivu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wakiuliza uhalali wa teuzi hizi tutawaona wana wivu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Hofstede, Jan 15, 2012.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa nchi zinazojali demokrasia na maadili sherehe hii ingefanya Lukuvi na Nchimbi kujiuzulu. Kama mnakumbuka World bank president Paul Dundes Wolfowitz alilazimika kujiuzulu baada ya kukumbwa na kashfa ya kumpatia mpenzi wake Shaha Riza nafasi nzuri ndani ya world bank.

  Pichani ni Mindi kasiga akisheherekea kuteuliwa kwenda kufanya kazi ubalozi wa Tanzania Marekani. Ni sherehe ambayo inaonesha kuwa mtu huyu yupo karibu sana na viongozi kiasi kwamba amezawadiwa nafasi ya kwenda kuishi washington kwa kodi za watanzania.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA WATANZANIA. SIHOJI UHALALI WA MINDI KUTEULIWA WALA QUALIFICATION ILA NAHOJI KUONA WATU WENYE INFLUENCE KATIKA KUFIKIA MAAMUZI YA KUTEUA WATU WAKIWA KATIKA WIMBI LA KUJIRUSHA NA VIMWANA WAKISHEHEREKEA MTU MMOJA KUPATIA NAFASI NA SERIKALI YA KWENDA KUISHI USA KWA KODI ZA WALALAHOI. INGEKUWA KWA WENZETU HAWA WOTE WANGEKWENDA NA MAJI KWANI INAONDOA PUBLIC TRUST KWENYE SERIKALI YAO.


  Updates

  Akila matunda ya taifa, kazini NYC

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Teh teh ni wakati wao wa kutesa bana mpaka waTZ tuje kuamka sijui ni lini
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kuna kazi sana humu TZ
   
 4. T

  TUMY JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, kazi ipo, kumbe ndio mambo yenyewe hayo:shock:
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  naona wahesjimiwa wote hapo chali hawana la kusema wapo tepee.mbele ya vimwana tena
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Bongo mlalo...
   
 7. lukenza

  lukenza Senior Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata mimi uteuzi huu sijakubaliana nao
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Simfahamu Mindi, umesema huhoji uhalali wa qualification zake...ishu ni hao viongozi kujirusha na vimwana, kwa mantiki hiyo hapo Mindi angekuwa na wakina Sophia Simba na Zakhia Meghji na vinywaji na huduma zikawa hiyo hivyo kusingekuwa na tatizo sio??

  Hoja iwe uwezo wake kufanya kazi ubalozini, kwa hela ya walipa kodi wa Tanzania na si walioenda kumuaga, sherehe kaandaa Mindi,wao wamealikwa.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Una uhakika kaandaa yeye?
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wajamini mimi mmeniacha, nawaona wanamagamba na tudemu tuwili tutatu; kwani ni nini hapo?
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe unaonaje ukiangalia picha hizi hasa hoja iwe nini?. Hoja kuu hapo ni NEPOTISM, whether Nothing goes for Nothing. Hata kama wangekuwapo hao akina Simba Sophia bado hoja ingebakia kuwa why doing this? na kualika watu ambao wana undue influence katika nafasi uliyoteuliwa?. Je yale matamshi ya Jenerali kuwa sasa hivi watu wanateua wachumba zao kushika uongozi ina mantiki gani?.

  Halafu unasema hao wamealikwa katika sherehe wewe una vithibitisho kuwa sherehe kaandaa mwenyewe?. Kinachoonekana hapo hakina tofauti na issue ya 'Willis Knuckles' - Liberian Finance minister resigned after sexual scandal.
   
 12. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hii ni hatari sana. Ndiyo maana tz imekosa kila kitu hapa duniani hasa toka kipindi cha awamu ya nne ilipoingia madarakani. Vyeo na nafasi mbalimbali zimekuwa zikitolewa kama zawadi kwa wapenzi, ndugu, marafiki na hata kuzingatia mambo ya dini bila kuangalia uwezo wa anayeteuliwa.

  Hapa swala ni kwanini mawaziri wawepo kwenye sherehe hiyo, that is obvious kwamba hao ndiyo waliofanikisha huo uteuzi. Hii ni hatari sana, kwani nani asiyefahamu ukaribu kati ya nchimbi na lukuvi na rais?
  Yaani hii nchi imefikia kipindi itawaliwe na dictator lkn ana nidhamu ya kazi na taaluma na zaidi awe na vision.

  Kwa hakika kwasasa, tz hatuna viongozi. Ni wasiwasi sana na nafasi ya nchi itakavyokuwa economically and socially by october 2015.
   
 13. driller

  driller JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nadhani umeelewa sasa baada ya kusoma haya maoni ya wadau..!
   
 14. driller

  driller JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yani kwanza nilipoziona hizo picha hapo nilitegemea kukuta michango ya wadau inasoma page kama sitini(60) hivi jamani hili ni kosa kubwa sana kwa kiongozi mwenye uwezo wa kumfanya mtu fulani awe kwenye nafasi flani kuwepo kwenye kitu kama hiki...! kwa viongozi waadilifu na wenye busara zao hata wakialikwa hua wanatoa excuses labda kama iwe ni kitu ya kiserikali kama mambo ya kuapishana na nini lakini kwenda kuminya bata wazeee....! yani hii inaonesha jinsi gani watanzania tuko kwenye usingizi wa ujinga

  unajua watanzania wengi tuna hali kama ya kuwaabudu viongozi hivi..! hiki kitatupeleka mbali sana yani.. mbali na ulimwengu wa maendeleo..! tutarudi kulee nyuma ambapo watu walikua wanasema machifu hawakosei..!! jamani hawa nao wanakosea tu kama sisi nao wameumbwa hawajashushwa hawa....! mimi kwakweli hua nikiona mtu anakua kama anamuabudu kiongozi huwa ninakerwa sana wadau...!

  hawa ni wakuawachana live tu wanapokosea....
  UMESIKIA WEWE MICHELLE.......??????
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwanza sielewi mentality ya mtu kusherehekea namna hii uteuzi wa kutumikia wananchi. Sherehe hizi hazionyeshi kuwa upo na furaha sana kuwa sasa utawatumikia wananchi vyema badala yake inajenga picha kuwa unafurahia ulaji tu

  Uwepo wa Mawaziri pia shereheni pia kunaibua masuali zaidi. Wapo hapo kama nani? Wana uhusiano gani na mhusika?

  Zaidi ya yote inatifanya tuhoji qualifications zake. Anastahili? Kuna wengine wamekiukwa ili apewe yeye?
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kupangiwa Marekani dili. Sidhani Kama angepangiwa Msumbiji angefurahia hivyo!
   
 17. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  Ndo wengi humu, watanzania masikini unaulizua humu?
  Sidhani mkuu, i stand to be corrected.
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ndio anasherehekea ulaji. Kwa viongozi kama hawa tusitarajie maendeleo...
  Akipewa rushwa hatashindwa kuuza nchi
   
 19. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unauhakika gani kwamba wao sio walioandaa sherehe?!
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  Hofstede you're right, wamepeana hizo nafasi kwa kujuana, haionyenshi kama ilikuwa ni nafasi iliyotangazwa na mtu akashinda kihalali.

  Ama imetokea tu kwa bahati kuwa aliyeshinda ni mtu wa karibu na hao vigogo?
   
Loading...