Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Pole zako nyingi Mkuu
mkuu pole gain?nimeona we wa zama zangu
we so mzee wa youtube,hebu tafuta awilo longomba-coupe bibamba
Pole zako nyingi Mkuu
mini......hupitwi
Kumekucha jamani
Wakuoa wako wapi sasa
Mimi naona wanacompete kwenye soko moja na hao wanawake sasa ili kummaliza competitor wako ni lazima umuattack. Mwanaume anayetambua haingilii maisha ya wanawake esp.kwenye kuangalia mavazi,"vipodozi na mali zake!
kwan ni lazima?
Limekupata la gizani, mbona wewe uliwahi kunizuga umeolewa?
Nyooo uwee na familia unyeee iyo family yakoo labda itakula p zakooo umr wang hauwez kukuhusu uwe na uhakika usiwe nao mie ainisaidii kitu lol
Wanaume wa jf mpo frustrated kiasi kwamba hamna la kujadili za8di ya "wasioolewa??????"""
Ni kwamba waliwakataa ndio maana mna hasira nao au wamewazidi maisha?
Maisha ni zaidi ya kuoa na kuolewa
Kwa domo lako chafu nani atakuoa nuksi mnajitia wenywewe unapunguza umri huku taya zimeanza kurudi revansi..! Mnashindaga huku kujifariji sasa kichaka kimeunguzwa tuone fb wameisha pajua mkakimbikilie badoo.
We mk.n.d kweli aliekwambia humu wanawake wake tupo kutafta wanaume nan mwehuu ww et wapinga kristo mwenzio ndio kwanza 23yrs uniambie siolew si mwehu ww kamuulize bibi kwann hakuolewa adi anazeeka
Lines punch punch kali/
kama ndonga za mashari/
ndoa sio kwa ajili ya wanawake wote kama hujaolewa baki kuwa mchepuko
ha ha ha ha ha ha ha
Ukipata mwanaume kama mleta siredi & co., ni janga la maisha.
Mwanaume mzima akili yote kuponda maisha ya mwanamke?!!!
What a looser!..........