georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,886
Mods wa hili jukwaa la MMU hizi thread za kuwasema wanawake na kuwadhalilisha muwe mnaziangalia mara mbili mbili, hii haikubaliki aisee
Mweeeeeeeeeeeee! Mods tafadhali msisahau kuziangalia na zile za kudhalilisha wanaume pia. na sisi tumechoka kunyanyaswa eti