Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Hahahaaaaa tamu kweli hii mbona watu wanakuwa wakali? Kwani hampendi kuolewa akati muda ushafka? Msiwe wakali basi oleweni wakae kimya.
 
Asilimia kubwa ya mijanaume inayolalamika humu mmekataliwa pia maisha yenu yakuangaika tuu ndio maana roho znawauma afu mkidharauliwa mnaaona mmeonewa na stress zenu za maisha magumu mnazileta mmu makalio yenu na mshen.zii yoyote itakae muuma hii koment apite chini na aipotezee

Kwanini hamuolewi wapinga kristo wakubwa tuwaseme tuuuh! Mumekimbia mtaani mkaja jf mlidhani hatutafika?
 
Mods wa hili jukwaa la MMU hizi thread za kuwasema wanawake na kuwadhalilisha muwe mnaziangalia mara mbili mbili, hii haikubaliki aisee

Unatafuta kuhurumiwa na Mods;sija dhalilisha wanawake ktk topic hii.Zaidi nilichokuwa nakiona,na kuamini na sasa kimethibitika ni kweli.
 
Ukisikia aiiihhiii...! Ujue limempata...

Aaah wapi, limenikwepa lenyewe kuleee. Me nawacheka tu mnaotokwa na mapovu kama mmekula Omo au mna tenda ya kumeza sumu. Tutaolewa tu kwa wakati Mungu aliotupangia, who are u to put some pressure on us?? Maisha yanaendelea vizuri tu, ndoa zitakuja zenyewe naturally, hatulazimishi mambo sisi.
 
Asilimia kubwa ya mijanaume inayolalamika humu mmekataliwa pia maisha yenu yakuangaika tuu ndio maana roho znawauma afu mkidharauliwa mnaaona mmeonewa na stress zenu za maisha magumu mnazileta mmu makalio yenu na mshen.zii yoyote itakae muuma hii koment apite chini na aipotezee[/QUOTEhahahaha mi napita.....wanajisahau kuwa mambo yamebadilika alaaaaaaaaaah nyambaf

Jf chaka la wezi wa waume za watu.
 
Kuna mdada mmoja miaka 2 iliyopita alikuwa akiwaeleza rafiki zake akiwamo shemeji yangu wa kike kwamba hana mpango wa kuelewa. Yeye yuko ulaya anasoma na anamaliza mwaka huu. Nilipouliza kwanini, shemeji akasema kwamba yeye keshajenga nyumba yake. Nikamwambia huyo mwongo..ni kwamba hajapata mchumba na analosema ni mwongo. Mwaka huu anarudi na amepata mchumba mtanzania mwenzake anategemea kufunga ndoa pindi akirudi.

Wamekosa wanajiamii tu hawana lolote .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom