Wasindikizaji wa msafara wa Lema watawanywa na Polisi mkoani Manyara

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema alizuiliwa na madereva wa boda boda ya piki piki za biashara akitokea Arusha kuelekea Dodoma kwenye kikao cha Bunge.

Wafanyabiashara hawo walimzuia Lema nakutaka angalau neno lake moja kwaajili ya unyanyaswaji wanao upata kutoka kwa jeshi la police, Lema alisimama na kuongea nao kwa dakika kumi na sita kisha akaongozana nao mpaka kwenye ofisi za chama (Chadema)na kuwapatia bendera za chama kwaajili ya kueneza chama.
Baada ya Lema kuondoka katika maeneo hayo na sasa yupo mjini Dodoma wafanyabiashara hawo wamekamatwa na jeshi la Police kwa kupeperusha bendera za Chadema. Kuna uvumi unasema Lema amekamatwa huu ni uongo mkubwa sana Lema haja kamatwa na tayari kaingia mjini dodoma.

Kuhusu jeshi la police:
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana kuzuia watu wasiwasilishi hisia zao pale wanapo ona ni muda muafaka wa kufanya hivyo, tunalaani vikali ukandamizwa huu wa kipuuzi mno na hata mjinga hawezi kuufanya na sijui nitoe jina gani litakaloweza kusimama badala ya mjinga, mungu awatie moyo wa ujasiri wale wote waliyopata misuko suko hii, safari bado ni ndefu na nilazima tusonge na tufike.

Mateso yakizidi ujue ndo neema inakaribia wanachadema tusikate tamaa kwani haya mambo yana mwisho
 
nyerere alisema watu kama hao ni wapumbavu maana mjinga hufundishika
 
This avata says a lot about the person who uses it
avatar23356_4.gif
 
Haki itatendeka taka wasitake hawa magamba kwani kila jambo linawakati wake
 
Vyombo vya habari viliripoti kuwa atasafiri kwenda dodoma kwa ndege..sasa sijui Manyara kaenda kufanya nini

Ndugu, sijui kama taarifa zako nizakweli lakini hatakama ni kweli, Lema ni mtanzania wa kawaida tu anaruhusiwa kwenda mahali popote ilimradi asivunje sheria.
 
Watatufunga wengi sana!watatuua wengi sana!lakini nina 2maini maa ctfungwa kwa miaka mingi vile saa ya ukomboz yaja
 
Kilichobaki ni kutoa mfano ili kuwasibitishia ni jinsi gani Umma wa walipa kodi sasa umechoka na upuuzi wa Kikwete na Band yake. Dawa ni maandamano ya nchi nzima kwa muda usiojulikana tena kufa au kupona.
 
Lema yupo hapa Chako-Ni-Chako Bar Dodoma lakini waandishi wamemzunguka sana. Hata Mkuu wa Mkoa naye amekuja hapa na FFU wengi sana. Lema anaelezea jinsi polisi wa barabarani walimvyozuia msafara wake. Nitarusha picha zake muda si mrefu.

Pamoja mkuu, nahangaika kuweka mahojiano yake na SunRise Radio lakini napata shida kidogo ila ni kweli yupo Dodoma.
 
Updates;
Baada ya kuibuka mkanyiko huo nilifanya mawasiliano na Mh. G. Lema na kunithibitishia ni kweli yupo Arusha. Wakati nimemaliza kuongea nae SunRise waliongea na Lema na kufanikiwa kudaka mazungumzo yao. Sijui jinsi ya kuweka MP3 kwenye net ngoja niombe msaada ila muda si mrefu mtasiokia mahojiano hayo.

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. G. Lema amekamatwa leo hii akiwa njiani kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao kinachiendelea cha bunge.

Mazingira yalipolekea kukamatwa yalikuwa hivi:

Wakati akiwa mkoani hapo Machinga na madereva wa boda boda walimtambua na kumzuia ili awasalimie, wakati akiwasalimu alikamatwa na mpaka saizi bado yupo kituo cha polisi Manyara akihojiwa.

Taarifa zisizo rasmi zinasema kuna uwezekano mkubwa ikawa ni fitna ya mkuu wa mkoa Arusha ambaye aliitwa mjinga na Lema jana wakati akiongea na radio ya Sunrise Arusha na kutakiwa kufuta kauli yake na yeye Lema kukataa.

Bado nazidi kufuatilia.

hapo kwenye red. Lema kweli ni JEMBE la uhakika, alipoambiwa kuwa afute kauli ya kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha ni Mjinga, yeye kamjibu mwandishi kuwa kwake yeye COca cola itabaki kuwa coca cola, na chumvi itaitwa chumvi.
Wakiwemo Lema kama watano tu serikali ya ccm na taasisi zake lazima watashika adhabu!

Mkuu wa Mkoa ni Mjinga sana kwa kufanya kazi ya ccm.
 
mambo mengine H ivi hawa Polisi wakiamua kuacha pasi kufanya haya wanayo fanya kuna nini ?- Maana amani haijavunjwa
Hizi amri nani atoa kwa Polisi kukama ovyo wapinzani ? - Nviongozi wa CCM au wakuu wa jeshi la polisi

Busara itumike SI KILA JAMBO kutumia manguvu
 
nothing wrong with this guy.....
in contrast, there's definitely something very wrong with people who think there's something wrong with the guy!

There you are.!siunakumbuka mwenyewe alishasema watu kama hao niwakufanyiwa ukombozi wa fikra.na pia alikua anawaombea sana watu wa aina hiyo alipokua kisongo..aliyasema hayo thru sunrise radio..
 
Ndugu, sijui kama taarifa zako nizakweli lakini hatakama ni kweli, Lema ni mtanzania wa kawaida tu anaruhusiwa kwenda mahali popote ilimradi asivunje sheria.

kitendo cha kufanya mikutano ya hadhara bila kibali tayari ni uvunjaji wa sheria! Anafikiri yeye ni nani? Ndio maana nimesema atakuwa na matatizo. Kama mbunge ingetakiwa yeye ndiye awe mstari wa mbele kupigania utawala bora wa sheria.
 
Back
Top Bottom