Wasindikizaji wa msafara wa Lema watawanywa na Polisi mkoani Manyara

mh. Lema awe makini sn hawa magamba wanawez kumtegea ajali au ht kumlima risasi akiwa safarini.
 
kitendo cha kufanya mikutano ya hadhara bila kibali tayari ni uvunjaji wa sheria! Anafikiri yeye ni nani? Ndio maana nimesema atakuwa na matatizo. Kama mbunge ingetakiwa yeye ndiye awe mstari wa mbele kupigania utawala bora wa sheria.

hiyo uliyo nayo ni akili au matope... Kaz kwel kwel ha2tachoka kudeal na nyinyi lakini... Wewe nan kakwambia alifanya mkutano wa hadhara... Utak aongee na wa2 au yeye ni Bubu... Kwa hiyo akiongea na waandish ni mkutano wa hadhara... Acha kuwa na akili dhaifu... Fikir cyo unafikirishwa.. Pambaf...
 
What good is polished rice? Nutrients zote zimo pumba laini yes the unpolished lacking suave but full of goodness.
 
Updates;
Baada ya kuibuka mkanyiko huo nilifanya mawasiliano na Mh. G. Lema na kunithibitishia ni kweli yupo Dodoma. Wakati nimemaliza kuongea nae SunRise waliongea na Lema na kufanikiwa kudaka mazungumzo yao. Sijui jinsi ya kuweka MP3 kwenye net ngoja niombe msaada ila muda si mrefu mtasiokia mahojiano hayo.

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. G. Lema amekamatwa leo hii akiwa njiani kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao kinachiendelea cha bunge.

Mazingira yalipolekea kukamatwa yalikuwa hivi:

Wakati akiwa mkoani hapo Machinga na madereva wa boda boda walimtambua na kumzuia ili awasalimie, wakati akiwasalimu alikamatwa na mpaka saizi bado yupo kituo cha polisi Manyara akihojiwa.

Taarifa zisizo rasmi zinasema kuna uwezekano mkubwa ikawa ni fitna ya mkuu wa mkoa Arusha ambaye aliitwa mjinga na Lema jana wakati akiongea na radio ya Sunrise Arusha na kutakiwa kufuta kauli yake na yeye Lema kukataa.

Bado nazidi kufuatilia.

Radio 5 (News 8pm) wamedai kuwa Lema amewajulisha kwamba HAKUKAMATWA bali Polisi waliwatawanya riders wa Bodaboda waliokuwa wanamsindikiza.
 
Something is wrong with this guy

Nyani haoni kundule, ccm wamelewa madaraka. wnadhani solution ni kukamata tu badala ya kutatua kero za wananchi, mpaka na matransformer nayo yanalipuka yamechoka hahahahahahaha mwaka huu mtajibeba ccm
 
ccm byebyeeeeeeeeeeeeeeeeee, kwaheriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sasa mnaitapatapata na ufisadi wenu nani zenyu
 
Huyu jamaa akapimwe akili. Yeye kila siku ni misukosuko tu.

Unasikika kama Kaburu alivyokuwa akisema juu ya Mandlela. Imenikumbusha sinema ya Saraphina anapoulizwa why are you looking for trouble Saraphina akijibu i do not look for trouble i am already trouble.
 
Hivi M.Kwere anaona kama chama kinakufa kweli? ama kweli sikio la kufa...................!
 
Lema yupo Dom jioni hii nimemuona yupo na gari yake ikiwa na bendera ya CDM maeneo ya General Hosp akidrive
 
Radio 5 (News 8pm) wamedai kuwa Lema amewajulisha kwamba HAKUKAMATWA bali Polisi waliwatawanya riders wa Bodaboda waliokuwa wanamsindikiza.
Mods kama jamaa hajakamatwa then this thread is invalid and may as well go to the trash can!!!
 
kitendo cha kufanya mikutano ya hadhara bila kibali tayari ni uvunjaji wa sheria! Anafikiri yeye ni nani? Ndio maana nimesema atakuwa na matatizo. Kama mbunge ingetakiwa yeye ndiye awe mstari wa mbele kupigania utawala bora wa sheria.


captivitity of negativity.....rejao soon eutanesia death will take you to hell
 
Polisi kumbukeni familia zenu tunaishi nazo uswahilini. Tutaanza system ya kavamia familia zenu pindi mnapotupiga na tubomu twenu. Tunatafuta kulikomboa taifa hili.
 
Back
Top Bottom