Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

hivi kuna aliyeileta CV ya Ndalichako?
naona porojo tu!
watu tuna haja ya kukagua CV ya boss wetu wa elimu!
binafsi nahitaji kujua o-level na A-level alisomaje na ufaulu wake ulikuwaje!
 
Ndalichako ni msomi na mtaalam katika hesabu na statistics,hivyo alifti vizuri sana kwenye Necta ambako statistics ilimbeba. Lakini huyu mama hana uelewa mpana kwenye elimu kama Taaluma kama jinsi ilivyo kwa maprofesa wengi! Ualimu ni Taaluma si kila profesa ana Taaluma ya ualimu. MTU ambaye angefiti vizuri kwenye wizara ya elimul ni profesa Mkumbo ambaye ana Taaluma ya ualimu. Ila kwa bahati mbaya mkumbo ameshaharibiwa na siasa! Hivyo naye hawezi kukwepa kuingiza siasa kwenye elimu!
 
Waha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.

Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
Nadhani ulijipendekeza wakakutoa nishai, waha wanamsimamo baby sio wakurukia rukia
 
Ukiona ulipata 4 O level halafu una degree inaleta mashaka juu ya ufaulu wako! Hayo ndiyo huyu mama hataki. Mimi binafsi sijaona alipo kosea. Tukipata wasomi waliokidhi viwango ni fahari ya Taifa.
Huajwahi kukutana na watu ambao siku zote wako vizuri ila kipindi cha mitihani au wakati wa maandalizi wanakutana na ugonjwa unaowafanya aashindwe kufanya vizuri hiyo mitihani?
 
Nani mtanzania asilia ambae hana unasaba na makabila kutoka nchi nyingine?.Nani alikwambia kuna sifa za jumla na wewe ukazikubali?.

Nikweli wanawake wakichaga wana roho mbaya/wauaji wa waume zao ili warithi Mali?.

Hizo sifa za jumla unazipima kwa kiwango gani na uthibitisho UPI?,au na wewe unakumbwa na propaganda na kuzikubali?.

Mfano wanasema wamasa na wajaruo asili yao ni Kenya unakubaliana nao?.,Wahaya kwao Uganda?.,waangaza kwao Rwanda?.Hivi unakubaliana na huo upuzi?.

Eti wanyanwezi hawapendi ndugu Ila wanapenda watu baki unakubaliana nao wanaozungumza hivyo?.

Eti wachaga na wahaya ni wezi wa Mali za umma?.

Eti waha wana roho mbaya?.

Eti wakurya ni makatili na wana roho mbaya?.
nenda kasome sasa acha kupiga umbea jf
 
hivi kuna aliyeileta CV ya Ndalichako?
naona porojo tu!
watu tuna haja ya kukagua CV ya boss wetu wa elimu!
binafsi nahitaji kujua o-level na A-level alisomaje na ufaulu wake ulikuwaje!
Best Student alisoma Tabora girls, Enzi hizo ilikuwa shule pekee maalum na ya vipanga, ulikuwa unaenda ukiwa wa kwanza kitaifa tu, chuo kikuu alipomaliza akapata scholarship ya kwenda alberta kusoma MPhil kwa ajili ya ukipanga wakampaisha alipopresent akaambiwa asome PhD kabisa, hana cheti cha masters, hii utokea kwa vipanga tu.
Zamani watu walikuwa wanafoji vyeti hawafanyi mtihani kama private candidates, kama unafuatilia utagungua baada 2005 on wards alipotinga NECTA ndio culture ya kurudia mitihani ilipoingia.

Vyeti fake atanii anajua analofanya, entry qualification za ujanja anaelewa anachomaanisha, ni viporo tu vilikuwa vinatafutia muda wake.
CV ya ndalichako sio ya mchezo mchezo kwa ufupi
 
Mkuu msamehe unaumuonea bure,anahitaji washauli wa mambo ya akili.Msome katikati ya mistari utangundua kwa nini anawachukia waha.

Huyu alipigwa chini na muha tena aliekuwa anamuamini 100% sasa chuki yake imehamia kwa waha wote.Niwakuhurumia sana maana anakoelekea ataungua msongo wa mawazo anahitaji tiba sahihi ya wataalamu.
Washauli=washauri
Ataungua =Ataugua
Utangundua =Utagundua
Jifunze kwanza kiswahili ndio uje kwenye hili Jukwaa! Nyie ndio mama Ndalichako anawatafuta kwa kupitia short-cut na kuiharibu elimu yetu
 
Best Student alisoma Tabora girls, Enzi hizo ilikuwa shule pekee maalum na ya vipanga, ulikuwa unaenda ukiwa wa kwanza kitaifa tu, chuo kikuu alipomaliza akapata scholarship ya kwenda alberta kusoma MPhil kwa ajili ya ukipanga wakampaisha alipopresent akaambiwa asome PhD kabisa, hana cheti cha masters, hii utokea kwa vipanga tu.
Zamani watu walikuwa wanafoji vyeti hawafanyi mtihani kama private candidates, kama unafuatilia utagungua baada 2005 on wards alipotinga NECTA ndio culture ya kurudia mitihani ilipoingia.

Vyeti fake atanii anajua analofanya, entry qualification za ujanja anaelewa anachomaanisha, ni viporo tu vilikuwa vinatafutia muda wake.
CV ya ndalichako sio ya mchezo mchezo kwa ufupi

Basi arudie Masters program upya
 
Ndalichako ni msomi na mtaalam katika hesabu na statistics,hivyo alifti vizuri sana kwenye Necta ambako statistics ilimbeba. Lakini huyu mama hana uelewa mpana kwenye elimu kama Taaluma kama jinsi ilivyo kwa maprofesa wengi! Ualimu ni Taaluma si kila profesa ana Taaluma ya ualimu. MTU ambaye angefiti vizuri kwenye wizara ya elimul ni profesa Mkumbo ambaye ana Taaluma ya ualimu. Ila kwa bahati mbaya mkumbo ameshaharibiwa na siasa! Hivyo naye hawezi kukwepa kuingiza siasa kwenye elimu!

Unaelewa unachoongea, unaweza kumfananisha ndalichako na mkumbo? aliyekwambia Mkumbo speciality yake ni ya ualimu Zaidi ni nani, Mkumbo ana PhD kwenye psychology tena kafanyia mambo ya adolescent, ndalichako kafanya area ya measurement and evaluation. Acha siasa, jamvi kubwa hii ongea unalolifahamu.
wengi hamuelewi afanyalo yupo sahihi kabisa anachokifanya.
Degree ni elimu ya kiwango, sio kila mtu aende akasome apewe na degree kuijanja, lazima mtihani ambao upo monitored umpime kama anafaa au la. Mnajua hawa wakiomba wakaenda nje kwa kigezo cha GPA akifika kule inaonekana watanzania wote ni ovyo? kumbe tulilegeza mahali.
Fuatilieni sana kwanini wasomi wengi wenye masters za hapo TZ hawasomi PhD nje bila kuwa na masters ya huko? unaenda wanakwambia usome tena masters yao ndio wanakupa PhD, fuatilia CV za wengi waliosoma nje wana masters mbili ya TZ na nje. Ndio utajua jinsi michezo ya kipuuzi inavyolicost taifa
 
Wana roho mbaya, wivu na chuki zisizonatija. mimi nimeshuhudia, kama huyu mama Muha basi ataangukia pua.
 
Siko tayari kukujibu vibaya laiti ungenielewa maana yangu wala usingejibu kwa kukurupuka kaka, Nimehoji hivi nina maana kubwa ni kwamba sa hivi watu wananyimwa mikopo eti kisa mtu amesoma sayansi je wao wamesoma hayo masomo ndo maana yangu sijamzarau mheshimiwa nina muheshimu sana tena sana mimi sijajengwa kwenye misingi ya kumbeza mtu.
Mbona unaogopa, nikipindi cha watanzania kuamka.
 
Sio kila post uchangie kama hauelewi kaa kimya ujifunze, unaweza ukapresent kwa ajii ya Mphil na ukaupgrade into PhD, ni jambo la kawaida kwa vipanga, ungeuliza au google kwa taarifa

Basi waundeleze ukipanga katika mabadiliko ya sera ya elimu
 
Back
Top Bottom