Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
Simpendi huyu maza
Kwani alidungwa mimba akiwa shuleni?! Alikuwa darasa la ngapi au fom gani?!Angekuwepo enzi za Magufuli za kutosomesha wajawazito angekua ujiji analima mawese,ila sijui kwann amekaa kimyaaaa
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Kigoma Kasulu Ruhita Ndiyo Wanakotoka
Hapa itakua umehamisha magoli kwa zitto.kwa Ameshaolewa vile bi Ndali kama hataki inamake sense kidogo ingawa si Waha wote maana ubaya hauna kwao wala hauna kabilaWaha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.
Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
Na sisi waha hatukutaki hata uwe na viuno vya Shakira kwa PiqueMi siko kuchangia cv ya huyo Ndalichako! Hanihusu simhusu apite kushoto.
Niko kuchangia comment moja ya waha &
God Forbid!
Sitaki muha hata wa awe na hela kuliko jayz na beyonce!
Mzee Punguza kuabudi wazungu hizo ni principle tu walizojiwekea hata ss wakija wazungu na driving license haziwezi tumika mpaka wapate na ya hapa Je nikwamba sisi ndo madereva bora zaidi.? Uko hivyo kwenye vitu vingi sana tu ili uweze kufanya kitu Fulani lazima ufate taratibu walizojiwekea bila kuchuja maana take utachanganya Pumba na mchele.kila sehemu na chujio lake wacha wachujwe tu hata tukibadilisha mitaala yetu haitahusu mitaala yao bado itatulazimu kuifata kama walivyojiwekea wenyeweUnaelewa unachoongea, unaweza kumfananisha ndalichako na mkumbo? aliyekwambia Mkumbo speciality yake ni ya ualimu Zaidi ni nani, Mkumbo ana PhD kwenye psychology tena kafanyia mambo ya adolescent, ndalichako kafanya area ya measurement and evaluation. Acha siasa, jamvi kubwa hii ongea unalolifahamu.
wengi hamuelewi afanyalo yupo sahihi kabisa anachokifanya.
Degree ni elimu ya kiwango, sio kila mtu aende akasome apewe na degree kuijanja, lazima mtihani ambao upo monitored umpime kama anafaa au la. Mnajua hawa wakiomba wakaenda nje kwa kigezo cha GPA akifika kule inaonekana watanzania wote ni ovyo? kumbe tulilegeza mahali.
Fuatilieni sana kwanini wasomi wengi wenye masters za hapo TZ hawasomi PhD nje bila kuwa na masters ya huko? unaenda wanakwambia usome tena masters yao ndio wanakupa PhD, fuatilia CV za wengi waliosoma nje wana masters mbili ya TZ na nje. Ndio utajua jinsi michezo ya kipuuzi inavyolicost taifa
Kuhusu roho mbaya naona umewasingizia Waha. To be honest Waha ambao Mimi nimebahatika kukutana na kuishi nao ni watu poa sana; ila issue ya ubishi ni kweli. Watu hawa ni wabishi sana hata kwenye vitu ambavyo hawana uhakika navyo. Swala la uchawi nalisikia tu, I can't proveWaha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.
Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
Sio 75% ni 98% tabu tupuKwa hiyo mnavosemaga wachaga hivi au mhaya vile mbona huwa sioni comments za mazingira mtu aliyokulia but general?
Tu generalize na hili kabila pia, 75% tabu tupu.
Na sisi waha hatukutaki hata uwe na viuno vya Shakira kwa Pique
Ndalichako namuona hana maana kabisa watumish walio chini ya wizara yake wana nyanyaswa kila siku lakin yeye hana hata habari ila ile ya walimu wa mbeya kwa vile alijua itampa kiki alikuwa mstari wa mbele kabisaHabari wanaJF,
Naomba kujua wasifu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Lazaro Ndalichako.
U TO wake hauna tija kabisandalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna
Mkuu umekuwa Judgmental jamaa ameomba CV; Ila naona umeingia hadi kwenye mawazo yake, unaona kama anahitaji credibility.Watoto hawa Njuka,first year wamekuja na Nepi wanataka kuhoji Credibility ya Ndalichako?
connect alichokuwa amefanya ndalichako na aloyeomba cv yake.Mkuu umekuwa Judgmental jamaa ameomba CV; Ila naona umeingia hadi kwenye mawazo yake, unaona kama anahitaji credibility.
Hii ndio changamoto mambo mengi hayaendi, Yaan hata wazo ambalo halijasemwa watu wanalitafsiri.
Mtu kuomba CV ya mtu ni kuhoji credibility ya mtu? Dunia inabadirika kwa kasi sana, khaa!Watoto hawa Njuka,first year wamekuja na Nepi wanataka kuhoji Credibility ya Ndalichako?
Hivi ninyi watoto mnajielewa kweli nyie!
Yesu awasaidie