Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Huyu mama anajisikia sana, anadhani yeye ndio amesoma elimu bora, tamko la kufuta 'dip to degree', 'bridging course' ni kurupuko la karne.

Nataka nijue alikopita na Div zake zote olevel na a-level(kama alinipita)
 
Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki

Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree

Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu

Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
 
Sidhani km kweli ana nia njema na wale wanaohangaika kuinua viwango vyao vya Elimu. Kwan ni mda mchache sn ulopita alitangaza hakuna Degree bila 3.5 GPA. yaani toka 2.7 napo ukumbuke wakati akitangaza hili ilikua ni mwishoni kabisa kwa Semester. HII ILIKUA NI KIKWAZO, SS WATU TUMEONESHA MAFANIKIO KWEN 3.5, LEO ANAINUA KIKWAZO KIKINGINEE....!… NHAPANA...., NAIPENDA SN CCM NA SERIKALI YK HII ILA KWA MAJARIBU HAYA..., MNANITIA MAJARIBUNI ILI NIWACHUKIE KISHA NICHANE KABSAA NA KADI YENU.
 
Ukiona ulipata 4 O level halafu una degree inaleta mashaka juu ya ufaulu wako! Hayo ndiyo huyu mama hataki. Mimi binafsi sijaona alipo kosea. Tukipata wasomi waliokidhi viwango ni fahari ya Taifa.
 
Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki

Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree

Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu

Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
kwann haiingii akilini,kwani wizara ya elimu imesema division 4 ni failure?
 
Huyu mama anajisikia sana, anadhani yeye ndio amesoma elimu bora, tamko la kufuta 'dip to degree', 'bridging course' ni kurupuko la karne.

Nataka nijue alikopita na Div zake zote olevel na a-level(kama alinipita)
Wewe ndio umekurupuka.
 
Duh! watu mmesoma Zoom college halaf leo mnataka CV ya Ndalichako...

yule mama mkosoeni kwingine sio uwanja wa academic ile ni mashine ya kusaga na kukoboa
 
Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki

Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree

Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu

Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
Na wewe unajidai kufafanulia watu na huku hata wewe hukumwelewa! Alichosema ni zile foundation courses za OUT ndo hao watatakiwa kwenda kufanya mitihani ya form six. Maana alikazia kabisa kwamba foundation courses hazimwongezei mtu sifa ya kwenda chuo Kikuu!

Sasa mmekazana ooh amefuta hiki,,, ooooh lazima ukasome form 5 na 6! Hakuna kitu kama hicho! Equivalent wana cut off point zao za kuwapeleka university tusiwe MA zombie!!
 
Duh! watu mmesoma Zoom college halaf leo mnataka CV ya Ndalichako...

yule mama mkosoeni kwingine sio uwanja wa academic ile ni mashine ya kusaga na kukoboa
Haaaahaaa!!! Tena mbobevu kwenye hisabati. Kuna mtu aliniambia. Enzi zake UD nzima walimjua!!!
 
Umeshindwa kugoogle hata hilo mpaka uombe CV yake humu?
 
Kwa Taarifa za Uhakika.. Prof Joyce Ndalichako tokea shule ya msingi ni wa kwanzaaaa.. akawa Ndani ya Tanzania One.. Amepata mascholaship mpaka ikapelekea Ndoa yake kuvunjika Maana mume alichoka kusubiri mama NA vitabu. Akaulizwa chagua Elimu au Kitabu... Mama Akasema nachagua Kitabu.

Kichwani Yupo vizuri NA Ni Bulidoza Kwenye mambo ya Management and Evaluation. Kwa hiyo uliyeuliza Ndo ivyo. Na unaambiwa kipindi kile Akiwa Baraza la mitihani ilikuwa kukitokea wanafunzi kalalamika kuhusu matokeoo, yeye Alikuwa anaingia mwenyewe mzigoni.. Anatafuta mitihani yako NA anaisahisha upya.

Yaani Yupo Vizuri NA Sio mvivu. Wewe humuoni alivyo Shupavuu. Mwacheni aionyooooshe Elimu. Huna sifa unarudia. Shida IPO wapi? Hataki shortcuts.
 
elimu ni prymid inashangaza Tz kila mtu ana degree na bora ingekuwa vyema kama watu wenyewe wanajua.kwa kweli wanafunzi wengi ni vichwa maji
 
Back
Top Bottom