Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,933
- 10,557
Alikuwa anafukuza hesabu kama duma mbugani kile kichwa kione hivyo tu
Huyo ni prof wa education(psychology) nani mtaalamu katika takwimu.Ni Prof wa Educational Psychology, kwanza alisoma UDSM Bsc with education (Mathematics).
Msome hapa chini
Joyce Ndalichako - Wikipedia
Nothing is easier than blaming others for your own problems
mkuu unabishana na watu wajinga sana humu. nakushauri acha kupoteza muda.Hayo sitajibu ni mtizamo wa mtu binafsi. Hivi unadhani kupata PhD ni mchezo na hata ukiipata kupata Uprof ni kimbembe maana lazima uwe na maandiko. Hivi unajua kuwa unaweza kumaliza mwaka unaandika statement of the problem. Tuheshimu wasomi si kulinganisha kama the so called Prof Jay or Maji Marefu ndugu zangu. Wahenga walisema kama hujui kufa tazama kaburi, angalia jamaa humu hata kuandika ni mgogoro lakini wanacheka watu wa PhD (halali) kama ndalichako. Muone kama mtoa sredi hajui tofauti kati ya Tutor na Tutorial Assistant lakini anaponda PhD ya mtu kama Ndalichako simply kwa sababu hampendi. Hilo nalipinga kwa nguvu zote au PhD ya JPM
Aisee! Mbona unamshushia hadhi ProfJizzoo?Huyo wako sawa na Prof jay
Ushauri mzuri ila ukiwa na cheti cha darasa la nne ambacho ulikipata kwa kupata kilema ukaona mtoto ambaye hata kusimama bado anadharau mwenzako aliyemaliza darasa la nne inauma. Naachana na hao makinda ila watakuwa wameelewa. Nafunga mjadala maana mimi sijawahi kukanyaga hata shule ya msingi kwani niliishia kindergarten (bustani ya watoto kwa kijerumani) maana tupo nyuma ya keyboardmkuu unabishana na watu wajinga sana humu. nakushauri acha kupoteza muda.
shule za kata zimetuletea janga kwenye hili taifa wallahi
Waha wamezidi, wamewazidi hata Wahaya.Roho mbaya haina kabila,roho mbaya nimakuzi ya mtu na mazingira yanayomzunguka.
Naweza kukubaliana nawewe kabisa.tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
UDOM - cha kata.
Kigoma Kasulu Ruhita Ndiyo WanakotokaNdahizeye, gendahayo gendachako wanatokea Burundi Mkoa wa Makamba
Hapa napo umetoa CV au?ivi mama Ndalichako umri wa miaka 53 ni sawa kweli. Maana tumeanza kumsikia kwy Nectar tokea miaka ya 2000. kwa iyo ana kama miaka 17 yupo kwy vyeo vya juuu