Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki

Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree

Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu

Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
Elimu bora Tanzania si kwa degree holders pekee kuna mambo mengi tunayahitaji kuboresha elimu yetu na si kukomaa kwa kuweka visiki ndo hapo tafsiri inakuja kuwa Kama roho mbaya ni dhahri mwafrika Kama mwafrika akifika level Fulani hatamani wenzie wafike na ndo maana maprofesa wa kiafrika hapo nyuma walikiwa na sifa ya kufelisha Kama nchi inabidi tujitafakali kwa nini kila tatizo linatatuliwa kwa matamko ya wanasiasa badala ya wadau wote na hasa wataalamu wa research .. unaamini sisi tuna mwarobaini kuliko waanzilishi wa elimu rami wenyewe ambao wakipanda sisi tunashuka?
 
Wana jamvi

Kutokana na matamko ya Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako haswa katika sekta ya elimu kama vile "moja la sifa za kujiunga chuo kikuu lazima uwe na form six pass" na sio equivalent, kwa maana umesoma foundation course ya Open university, certificate ukachukua Diploma halafu unaenda chuo kikuu, hili lina lengo baya sana katika kuthibiti idadi ya wanafunzi kwenda vyuo vikuu, aidha kupandisha GPA sasa mi naomba kama kweli alikuwa na sifa zote hizo mpaka akafika hapo mwenye cv yake aiweke tuijadili kwa manufaa ya elimu yetu, ina maana sasa ukiishia form form maana yake ndoto ya degree futa , au ukiwa na diploma futa ndoto za degree sasa sijui tunatengeneza kitu gani hakyamungu, na hivi ni kweli watu wote hawakupitia hatua hizo? kwa maana wote walipita form six wakapata degree?? masikini Tanzania yetu daaaah
Kaitafute kwenye website ya Bunge. Hakuna mtu anataka kesi
 
tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
Wataalam sayansi na hisabati wa hapa bongo kazi yao ni kuhakiki vyeti feki na wanafunzi hewa,nakubuni buni mambo ya hovyo hovyo kama haya.
 
Kuna watu wanapata four olevel afu wanapiga certificate mpaka degree ufaulu unakua wa hali ya juu sana olevel elimu ya kukalili iyo isifanye mtu kukosa degree kama certificate na diploma ana first class
Elimu yetu MSINGI wake ni wakoloni. Ili usitiliwe shaka na wewe kariri kama wenzio! Unaposhindwa kukalili ndiyo hapo unapohukumiwa kuwa hufai.
 
tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
Uwezo wako wakufikiria nakudhihak wasomi wa Taifa lako,utakua hata wazee wako hujawapa thamani.
 
Huyu mama alisoma s/msingi Karuta Kigoma ujiji,sekonfary o.level na A level Tabora wasichana,shahada ya kwanza udsm,akawa muhadhiri pale miaka miwili,akaenda kusoma nje,7bu ya uwezo wake wa akili alisoma masters mwaka mmoja badala ya miwili,akaendelea na PhD hukohuko,Wasifu wake kwa ukamilifu nitawaletea baadae,
Hivyo ana intellectual arrogance

Kumbe ni yale yale tu, theory mwanzo mwisho, nini amefanya kuisaidia dunia au jamii na PHD yake??
 
Uwezo wako wakufikiria nakudhihak wasomi wa Taifa lako,utakua hata wazee wako hujawapa thamani.

Anaweza kuwa sawa tu, sasa kama tunawasomi ambao hawatatui matatizo baadala yake wanaongeza matatizo lazima wadharaulike tu..
 
Ivi kuwa T.O mara kumi ni kuonyesha kwamba unaakili za maisha au ni bingwa wa kukren

Maana kuna maamuzi mengne anayafanya hayaonyesh uo UT.O PHD WALA MASTERS

MNISAMEHE NASEMA IVI NNA MDOGO WANGU YATIMA KANYIMWA MKOPO
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa na akili na kuwa na uwezo wa masomo darasani.
 
Kwa Taarifa za Uhakika.. Prof Joyce Ndalichako tokea shule ya msingi ni wa kwanzaaaa.. akawa Ndani ya Tanzania One.. Amepata mascholaship mpaka ikapelekea Ndoa yake kuvunjika Maana mume alichoka kusubiri mama NA vitabu. Akaulizwa chagua Elimu au Kitabu... Mama Akasema nachagua Kitabu.

Kichwani Yupo vizuri NA Ni Bulidoza Kwenye mambo ya Management and Evaluation. Kwa hiyo uliyeuliza Ndo ivyo. Na unaambiwa kipindi kile Akiwa Baraza la mitihani ilikuwa kukitokea wanafunzi kalalamika kuhusu matokeoo, yeye Alikuwa anaingia mwenyewe mzigoni.. Anatafuta mitihani yako NA anaisahisha upya.

Yaani Yupo Vizuri NA Sio mvivu. Wewe humuoni alivyo Shupavuu. Mwacheni aionyooooshe Elimu. Huna sifa unarudia. Shida IPO wapi? Hataki shortcuts.
Siyo Management and Evaluation mkuu ni Measurement na Evaluation.
 
Huyu mama namkubaligi sana, namfaamu na kaka yake Rev Fr Ndalichako, very bright. Nilikutana nae Israel pale Galilaya enzi hizo bado nina meno. Ni mbobezi sana wa hesabu. Mama ainyooshe Elimu tu bila kujali kusikia sauti ya wasiojitambua...twende kaziiiii
 
My opinion, doesn't have any thing to do with my life Sir! Mna roho mbaya na nishasema na ushahidi nnao, si mmoja. Zaidi ya 20! Hutaki, acha

Nakubaliana na wewe maana nilishasoma nao mpaka kuwa kiongozi wa chuo......yaani wana visa akishakuchukia atakufanyia visa, akiwa na hela mtamjua tu, wanapenda umbeya mpaka wanaume mimi nilikuwa mtu wa mademu sana chuo ila niliwavulia kofia, washamba sana, akipata gpa kubwa zaidi lazima mjue, kuvaaa hawajui, akila nyama anataka kila mtu ale vizuri, wanamajidai sana wanataka kunyenyekewa yaani nina mengi sana..
 
Back
Top Bottom