Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

We inaonekana una stress za kuachwa na muha. Ila waha ni watu makini na wanaroho mchanganyiko. Ukijifanya mjuaji wanakufanyia undezi ila ukiwa poa wanakufanyia wema.

My opinion, doesn't have any thing to do with my life Sir! Mna roho mbaya na nishasema na ushahidi nnao, si mmoja. Zaidi ya 20! Hutaki, acha
 
Walaaaaaa, kwani kwenda kigoma inataka viza basiiii!!!
Mkuu hakuna mtu anaezaliwa na tabia mbaya,au roho ambaya au muongo huyo unaesema muha akizaliwa kigoma angali bado mdogo akapelekwa let say USA hatokuwa natabia za kigoma lakini still atakuwa bado ni muha.

Kama muha mmoja alikuuzi usigenerelize wote,mimi nimeishi nawachaga kibao tena hao unaowasema lkn wapo fresh tu. Nikikusoma katikati ya mistari napata jawabu kwa nini unachuki na waha.
 
ndalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna

U TO wake usandie kupata dawa hospital upeleke maji safi ngundu
 
Chapa lapa...mm sihitaji kubadilisha uzuzu wako. Wakiwa na roho mbaya kinakuwasha kitu gani?
Mkuu msamehe unaumuonea bure,anahitaji washauli wa mambo ya akili.Msome katikati ya mistari utangundua kwa nini anawachukia waha.

Huyu alipigwa chini na muha tena aliekuwa anamuamini 100% sasa chuki yake imehamia kwa waha wote.Niwakuhurumia sana maana anakoelekea ataungua msongo wa mawazo anahitaji tiba sahihi ya wataalamu.
 
tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
hii damu ya Bavicha hii siyo bure kwa huo husuda
 
Mkuu msamehe unaumuonea bure,anahitaji washauli wa mambo ya akili.Msome katikati ya mistari utangundua kwa nini anawachukia waha.

Huyu alipigwa chini na muha tena aliekuwa anamuamini 100% sasa chuki yake imehamia kwa waha wote.Niwakuhurumia sana maana anakoelekea ataungua msongo wa mawazo anahitaji tiba sahihi ya wataalamu.
You'r very right
 
Back
Top Bottom