acha kuinsult uwezo wa kila aliyesoma 90s na acha kufagilia kila aliyesoma kabla!Hasiyefahamu maana ngumu kuelewa maana, kama bado unafikiri ubora wa elimu ya mpaka 1990's mwishoni product ni sawa, endelea kupiga propaganda humu. Elimu ipo ICU, pitia post za vijana wa leo wanawaza nini na wanavyoargue utapata jibu, hakuna haja ya kupoteza muda
we have very smart people all over the world leo waliosoma 90s - 2000s na kwa idadi na uwezo wapo wengi mno! basically wengi wamesoma elimu zao za awali hapa nyumbani!
same system ya 70s kwa maana aina ya mitihani, mifumo na format za maswali ndio iliendelea kutumika hadi 90s, sasa angalia performance ya hizo special schools tabora boys/girls, mzumbe, ifunda, ilboru, msalato na kibaha! kama kuna anayeweza kutuwekea mkeka wa matokeo hapa utaelewa ninachoongea! na kama utaweza pia kuweka majina ya hao wanafunzi waliofanya vema ktk hizo shule utaelewa hicho kizazi cha 90s kina uwezo kiasi gani!
mliosoma shule hizi mnaweza kuja jamvini na kutoa ushuhuda!