Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Waha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.

Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
Usituhukumu bure. WAHA TUNA AKILI SANA. NIKIKUONYESHA PERFORMANCE YANGU SHULENI UTAKIMBIA.

NINACHOJUA KUHUSU DADANGU NDALICHAKO NI KUWA "ALIFELI FORM SIX PALE TABORA GIRLS SECONDARY SCHOOL"! SASA KUHUSU ALIVYOENDELEA MIMI SIKUFUATILIA.
 
weka mwaka aliomalizia twende Tabora girl tuweke matokeo hapa
 
Mimi kuna mmoja alipata div 4 ya 31 form four , eti nae kagraduate degree kule TIA . Ila sasa yaani huwa wanachanga hela wanampa lecturer ili awafaulishe . Yaani ni vi la za mpaka walimu wao . Joyce acha ainyooshe elimu .
Hahahaha
 
Ivi kuwa T.O mara kumi ni kuonyesha kwamba unaakili za maisha au ni bingwa wa kukren

Maana kuna maamuzi mengne anayafanya hayaonyesh uo UT.O PHD WALA MASTERS

MNISAMEHE NASEMA IVI NNA MDOGO WANGU YATIMA KANYIMWA MKOPO
 
Huyu mama alisoma s/msingi Karuta Kigoma ujiji,sekonfary o.level na A level Tabora wasichana,shahada ya kwanza udsm,akawa muhadhiri pale miaka miwili,akaenda kusoma nje,7bu ya uwezo wake wa akili alisoma masters mwaka mmoja badala ya miwili,akaendelea na PhD hukohuko,Wasifu wake kwa ukamilifu nitawaletea baadae,
Hivyo ana intellectual arrogance
 
Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki

Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree

Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu

Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
Jesca naye afutwe basi
 
Kwa hiyo mnavosemaga wachaga hivi au mhaya vile mbona huwa sioni comments za mazingira mtu aliyokulia but general?
Tu generalize na hili kabila pia, 75% tabu tupu.
Chuki binafsi hizo hazifai, ivi ww ni kabila gani, kwa jinsi unavyojibu tu unaoneka we unaroho sana, maneno yako yanareflect jinsi ulivyo, kwa sababu sehemu inayoongoza kwa matukio ya kuuana na matukio ya ajabu ajabu ni musoma, shinyanga, mbeya huko kwa hiyo na wenyewe tuwahesabu wana roho mbaya au roho mbaya ni ipi nijuze
 
Mi siko kuchangia cv ya huyo Ndalichako! Hanihusu simhusu apite kushoto.
Niko kuchangia comment moja ya waha &
God Forbid!
Sitaki muha hata wa awe na hela kuliko jayz na beyonce!
Walikufanya nini, anzisha thread yako inayohusu waha walichokufanya, kama uliwaibia watakuwa walikukomesha
 
Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki

Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree

Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu

Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa

Watoto hawa Njuka,first year wamekuja na Nepi wanataka kuhoji Credibility ya Ndalichako?

Hivi ninyi watoto mnajielewa kweli nyie!

Yesu awasaidie

Utatukanwa, usilalamike
 
Ukiona ulipata 4 O level halafu una degree inaleta mashaka juu ya ufaulu wako! Hayo ndiyo huyu mama hataki. Mimi binafsi sijaona alipo kosea. Tukipata wasomi waliokidhi viwango ni fahari ya Taifa.
Kuna watu wanapata four olevel afu wanapiga certificate mpaka degree ufaulu unakua wa hali ya juu sana olevel elimu ya kukalili iyo isifanye mtu kukosa degree kama certificate na diploma ana first class
 
Back
Top Bottom