Haaa haaa kuna wale wadai picha watakuja muda si mrefu bora uwawekee picha kabisa.
Jiandae kupigwa panga mkwanja kwenye pochi usiku ukiwa umelala!!!Jamani wanaojua tabia wa wahabeshi mnijuze yaan( wenye asili ya ethiopia) ndo wanaitwa wahabeshi.kuna msichana mmoja niko nae na mahusihano nataka km mambo yakienda poa nioe kabisa
Tabia zao zikoje?
Dah mkuu kweli Mapenzi noma, umeamua kutaja mpaka location uliyopo??Tupo nae dar,yee tabata mi huku baruti kimara
Jamani wanaojua tabia wa wahabeshi mnijuze yaan( wenye asili ya ethiopia) ndo wanaitwa wahabeshi.kuna msichana mmoja niko nae na mahusihano nataka km mambo yakienda poa nioe kabisa