Wasichana wa kihabeshi

Mkuu kwanza mambo yako yawe safi, hata ugeni hutakosa japo utapambana na mitego ya rafiki zake kama unazo, vikao vya kula mirungi ni kawaida mpaka usiku, daima kula vizuri tu, kaka wanaokuja kuongea kihabeshi unao sana tu, ila hakikisha uwe ktk msimamo wako otherwise........

Body without head
 
Kwa ushauri wa bure kabisa. Bora ukao yule mdogo wa ufoo saro, kabaki mmoja hajaolewa mzuri sana
 
Ndugu siku hizi huwezi chagua mwanamke kwa kabila cha msingi Ni wewe kumwamini mtege kwenye vitu vidogo vidogo kama matumizi je Ni muwazi mapenzi anajua mf kukuandalia mambo yako ya msingi je Ni mkweli anawaza kesho akiwa hivyo mweke ndani mengine mtarekebishana
 
Duuuu!weka ulinzi mkali sana!hao wajanja sana hawataki damu yao ipotee!!wana miiko ya asili!labda iotokee tu!!
 
Usiogope hao wanaokuambia ati watakuzalia mazaliwa ya kwao. Kitanda hakizai haramu Bro. Uulize moyo wako kwani weye ndio waenda kaa naye siku zenu zote. Kama ni kuzalia nje mbona hata wabongo wengi wanafanya hivyo tuu. Jiulize kama unampenda au vipi, naye je anakupenda au vipi?
Mhabeshi bwana ana uvumilivu na ukarimu na hishima debe kwa ndugu zako.
 
Wazuri, wanaheahima, wanaupendo, wanajua kuishi na mtu mmoja kimahuaiano hawana tabia ya mafiga matatu ila wana wivu sana anaweza kukwambia yameisha siku iyoiyo na kama haupo strong utashangaa maamuzi ni ya kweli. Karibu nimeoa pia mhabashi from sudani.
 
wapo kama wasichana wengine wa uku pia wana upendo wa kweli siyo kama hawa wa kibongo.

pia waho ata mkishindia chapati kila siku wao uona sawa sababu kwao ni kawaida na ndio chakula chao. Tabia zao hazitofautiani na Eritrean .

mkuu mi najua ata lugha yao kwa asilimia 70%
amharic?
 
Mtoto mmoja lazima azae na mhabeshi mwenzie ili ukoo usipotee,,,,,, au mimba zote anapewa na mhabeshi we unalea tu.
 
ikiwa ni feminine society, usithubutu. Utalea watoto wasio wako, kama ni feminine wana tabia kama watusi...akiwa katika danger days anamtafuta mtusi/mhabeshi mwenzake anamkaza mchana ili mimba ikiingia mchana mlango unafungwa. Siku mtoto akizaliwa anafanana naye wewe unajidanganya kuwa mama-mtusi/mhabeshi wana damu kali.

Uliza kwanza hilo among other things

Hii ni kweli kabisa,,, na kitu kinapewa msisitizo sana na usipofanya hivo kikao cha ukoo cha kuvunja ndoa lazima kihusishwe hapo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom