Wasichana wa kihabeshi

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Jamani wanaojua tabia wa wahabeshi mnijuze yaan( wenye asili ya ethiopia) ndo wanaitwa wahabeshi.kuna msichana mmoja niko nae na mahusihano nataka km mambo yakienda poa nioe kabisa
 
Nataka nifanye hivyo si unajua tena haya mambo inabidii udadavue na umjue huyo msichana kwa undani zaidi
 
Unakaa wapi na yeye anakaa wapi?

Mwenye namba ya Uhamiaji Please... Viva Kimbunga
 
Jamani wanaojua tabia wa wahabeshi mnijuze yaan( wenye asili ya ethiopia) ndo wanaitwa wahabeshi.kuna msichana mmoja niko nae na mahusihano nataka km mambo yakienda poa nioe kabisa
Jiandae kupigwa panga mkwanja kwenye pochi usiku ukiwa umelala!!!
 
Wa ukweli balaa kwakweli labda unataka picha ili iweje kaka.mi nimeuliza kuhusu tabia
 
mi nawajua vizuri sana na nimeishi nao na ata apa karibu wapo uliza ulitaka kujua zaidi kuhusu nini?
 
Tabia zao zikoje?

wapo kama wasichana wengine wa uku pia wana upendo wa kweli siyo kama hawa wa kibongo.

pia waho ata mkishindia chapati kila siku wao uona sawa sababu kwao ni kawaida na ndio chakula chao. Tabia zao hazitofautiani na Eritrean .

mkuu mi najua ata lugha yao kwa asilimia 70%
 
tatizo baada ya muda ukoo wake wote utahamia kwako. Uhamiaji itabidi wawe rafiki zako.
 
Jamani wanaojua tabia wa wahabeshi mnijuze yaan( wenye asili ya ethiopia) ndo wanaitwa wahabeshi.kuna msichana mmoja niko nae na mahusihano nataka km mambo yakienda poa nioe kabisa

ikiwa ni feminine society, usithubutu. Utalea watoto wasio wako, kama ni feminine wana tabia kama watusi...akiwa katika danger days anamtafuta mtusi/mhabeshi mwenzake anamkaza mchana ili mimba ikiingia mchana mlango unafungwa. Siku mtoto akizaliwa anafanana naye wewe unajidanganya kuwa mama-mtusi/mhabeshi wana damu kali.

Uliza kwanza hilo among other things
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom