Unajua you sre very good katika kubadili ukweli, na kutaka kuonekana clean mbele ya jamii, hata kama ikibidi kushambulia watu wanaokupinga mawazo katika mtandao na ambao huwajui you will do that,
Yes sikuwepo hapa ni wewe uliyelileta jina langu katika kutafuta sifa za forum, ukaingilia mpaka shughuli ninazofanya as if unanifahamu, ukageuka kuwa psychic, yaani una uwezo hata wa kunisoma bila kuniona kuwa sitaki kukusikiliza, sasa umegeuka tena kuwa mimi sio Es, all this for what nikubali kuwa kuchaguliwa viongozi 12 Waisilamu ambayo ni dini yako na ya rais, it is ok, na mimi ninasema Hell NO!
Mfano wa mbunge ni kukuonyesha kuwa hata nje wameaanza kutushitukia, ndio maana mzee Chenney alimpa rais wetu strong warning kule White House, kwa hiyo tusipojirekebisha tutafikia mahali hatutapita hizi airports za watu, ni fedheha kwa mbunge wetu wa nchi akiwa na diplomatic pass kuwekwa chini ya ulinzi kwa masaa sita huku wabunge wote wengine wamewekwa chini kumsubiri ni aibu? Hayo hayakutokea enzi za Mwalimu na Mkapa, hata Mwinyi,
Kama unafikiri utakuja kuharibu jina langu kwa sababu nimesema kuwa sitakuwemo, nafikiri now you know better, TEF ni a good place ila kuna watu kama wewe ambao mnataka kudanganya watu kwa maneno mengi ya ujanja halafu mkishindwa, mnaanza ujanja mwingi, the issue hapa ni ndogo sana nayo ni kuwa rais anataka kuleta udini na hatuwezi kumruhusu, na salam zimefika tunajua kwa hiyo usikatishe tamaa watu wasitoe michango,
kuhusu mimi kuwa Es au kutokuwa, haibadili kitu cha muhimu ni message, hizo ni moja ya startegies zako katika kulazimisha watu wengine wakubali unayotakja wewe, not me bro!
Sina uhakika hili kubebwa maana yake, na siatingia kwenye huu ujinga wakusema Wakristo sijui wataipata, wataipata nini? Wewe kaa huko West kwa Wakristo na sisi tuko bongo tunapigana na gurudumu la maendeleo, it does not matter rais ni pagan au Muisilam, sisi bongo tunatesa tuu, halafu wewe mwenyewe si unajua bongo ukifanya mchezo huli chakula huku sio huko bro, utaenda kanisani ule huku waya mkali, habebwi mtu watu tunachacharika ili tule bro, na hizo siasa zako za wakristo kuipata hatunazo huku nyumbani samhani sana maana tumeendelea sana ndio maana tunashangaa jamaa kutaka kutuingiza mkenge kweupe tunaona!
The rest Sam well said!, hakuna la kuongeza!