loving
Senior Member
- Aug 27, 2012
- 137
- 34
Kichwa cha thread hii hakiendani na content yake.......
By the way japo Wema kapata tuzo but in real sense what is soooooo special kwa Wema..... Huwa namchukulia cheap gal asiyejua thamani yake na ucelebrity wake hana criteria zozote za mwanaume wa kuwa nae yeye ni zoazoa
Na Mbona hana mafanikio yoyote kama wenzake?