cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,670
- 78,171
"Duh eti ali kiba alikuwa kwenye gari akingojea kama atashinda achukuliwe tuzo kwasababu ta kyjua hastaili kupata na watu wamemvotia mara nyingi nyingi
Sasa angekwenda spichi ya kushukuru ingemuharibia sababu anajijua hsjafanya lolote la kustahili tuzo haswa mwaka 2014 bali miaka mingi iliyopita na hadi leo hajatajirika kujivunia"
Na pia eti patina wake katika kupigiwa kura wema naye alijijua kuwa mwaka 2014 hakufanya kazi ya filamu na wengine walistahili
Eti inawauma kujua wao bado hawajajiweka vizuri na kyishi maisha hata baada ya tuzo hawajui kama watakuwa na kazi"
Ni kweli haya ya juu?
Naombeni mnitajie basi kazi zao natafuta nikapingane na wanayoandika haya
Yaani muvi za wema na miziki ya kiba mwaka 2014. Nitafurahi niangalie na nisikilize