Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,006
- 72,297
warumi njoo usome hapaaaanadhani hili ndilo rengo lao,nani anapendwa na watu na si nani katoa falamu iliyopendwa na watu.
kiupande wangu mimi nampenda wastara.! lakini sasa kura nilizo pija mbili so hazikuweza kumsaidia kushinda...
kubwa kama tunampenda mtu na kumshabikia basi tumpijie kura za kutosha, la sivyo tutabaki kupija kelele tu watu wanafanya yao wanaenda zao...😀
Last edited by a moderator: