chiko18
Senior Member
- Jan 6, 2015
- 151
- 106
Wema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.
Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.
hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.
Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu
Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu
Mkuu idawa umetususa sana kule kweny kitengo chako bhana,