Washindi wa "Tuzo za watu"

Washindi wa "Tuzo za watu"

Hahahah pole binamu

Ila chuki ndio hiyo kama yako

Hebu fuatilia thread zako kama hujamuongelea wema ktk uzi laIma utachomekea ndani ya uzi

Chuki ukiiona utaijua au inaiis binamu? Yani nina hasira natamn nimuone mtu humu live nimpasue na kisu cha kwenye macho, yan nitoboe macho yote

Sasa ujimpasua mtu na kisu utajikuta jengo la serikali humu ndani tukakosa maubuyu

Cha kufanya kunywa maji hasira ziishe halafu anza kumpenda wema kidogo kidogo
 
Wema ni kipenzi cha Watanzania, kumchukia Wema ni kujitafutia maradhi ya puresha bure!!

Sijawahi kuona ata shabiki yake mmoja akimnunulia nyumba ya kukaa ili aache kupangiwa na wanaume zake, siku nyie mashabiki zake mkimnunulia nyumba na kumtafutia kazi ya kufanya kweli nitaona mnapenda, huo upendo fake wa instagram wa kulike pics na kutukana ovyo sio upendo
 
Mchangiaji nisiyefungaman upande wowote... Zile jaman zimeitwa tuzo za watu na wala si tuzo za waigizaji bora.. Inawezekana kwa huo uchz wake ndio kajizolea tu, naamin hicho ndio kikubwa zaid kwake... Ingekuwa tuzo za waigzaj bora, au walioleta chachu ya uigzaj johary angekosekana hata mimi ningeingia mstuni kupambana kimasihara.... Lakin kubwa je mlipiga kura, povu lisiwatoke bure jamaa wakqt kula 0..
 
Kuna tatizo gani mwanaume wake akimpangia nyumba???

Tena bora yeye anapewa pango la nyumba kuna wengine kutwa kumtusi wema wakati wanaume zao hata 500 ya sabuni hawawapi

Sijawahi kuona ata shabiki yake mmoja akimnunulia nyumba ya kukaa ili aache kupangiwa na wanaume zake, siku nyie mashabiki zake mkimnunulia nyumba na kumtafutia kazi ya kufanya kweli nitaona mnapenda, huo upendo fake wa instagram wa kulike pics na kutukana ovyo sio upendo

(Hahaha binamu leo utanitafuna)
 
HUu ujinga wako kaandike uko instagram, wema my foot mxiuuuu

Acha roho mbaya warumi unamchukia mtu asiekujua wala hakuombi kula si kujisumbua huko hata kama anapendwa na watu wasio na akili nao siniwatu we kama unajiona umekamilika utapendwa nawaliokamilika na yy mwache apendwe na wapungufu wa akili kwan ndo anaendana nao mtoe roho basu ili tuone nijinsi gani humpendi au kunya boga nyauuuuuuuu mwenye baka weeee
 
Sijawahi kuona ata shabiki yake mmoja akimnunulia nyumba ya kukaa ili aache kupangiwa na wanaume zake, siku nyie mashabiki zake mkimnunulia nyumba na kumtafutia kazi ya kufanya kweli nitaona mnapenda, huo upendo fake wa instagram wa kulike pics na kutukana ovyo sio upendo

Kwa hyo kumpenda mtu mpaka umnunulie nyumba upendo unanafasi yake bana andaa tuzo zako uwape hao wenye akili kama ww roho mbaya kama ngariba kakulia nn chako
 
Chuki ukiiona utaijua au inaiis binamu? Yani nina hasira natamn nimuone mtu humu live nimpasue na kisu cha kwenye macho, yan nitoboe macho yote

Huna uwezo huo ww hata ukimuona mtu live acha kujitia kisabengo na kiherehere kwa mtu usiyemjua wala usiempa pumzi ww ata akiuza uchi sianaishi ashakuja kukulilia shida ndo ashakua wema hutaki jigeuze mungu ss umtoe duniani pusiiiiiii
 
Hahahah pole binamu

Ila chuki ndio hiyo kama yako

Hebu fuatilia thread zako kama hujamuongelea wema ktk uzi laIma utachomekea ndani ya uzi

Sasa ujimpasua mtu na kisu utajikuta jengo la serikali humu ndani tukakosa maubuyu

Cha kufanya kunywa maji hasira ziishe halafu anza kumpenda wema kidogo kidogo

Inatokea tu
 
Sina ugomvi sana na ushindi wa Wema coz tasnia ya filamu nayo ipo ipo tu, plus aina ya washabiki tulio nao ni rahisi sana kumtaja anayesikika na kuonekana kwao mara nyingi.

Sintofahamu yangu ipo kwenye mtangazaji anayependwa, mwanamuziki wa kiume anayependwa....hapa kuna mawili, either mfumo wa kupata mshindi sio sahihi au uchakachuaji ni mkubwa...kwa akili rahisi tu ni vipi mtu anayefuatiliwa na wengi ashindwe na mwenye wafuatiliaji wachache...kwa mfano Milard ameshinda kupitia blog yake, so nyie mnataka sie tuamini kwamba watu wanafuatilia blog yake kuliko kipindi/shughuli zake nyingine ?

Sioni ni kwa vipi hata waandaaji mnajiridhisha kwamba matokeo yenu yanatoa picha halisi ya kilichopo, na inawasaidia nini kumtangaza mtu ambaye hata bila kutumia nguvu kubwa ukweli upo wazi kuwa ni nani anapaswa kuwa juu.

Hivyo vigezo vinavyohalalisha mmoja kushinda hata kama kazi zake kwenye mitandao zinafuatiliwa na idadi ndogo ya watu kulinganisha na wenzake, ni dhahiri mnapaswa kujipanga upya...walau basi mtangaze kuwa ni tuzo za watu wa Tanzania tu.

Muweke wazi malengo yenu, otherwise SIELEWI....

Ni hivi bwana wewe kura za wananchi ndio zilizoamuwa.

Uchaguzi mkuu unakuja nendeni mkajiandikishe na mpige kura ulalamishi wa Ccm wameiba kura hatutaki kuusikia tena.
 
Ukiona mtu anasema wema ndio role model wake anamatatizo kichwani akapimwe
 
Kuna tatizo gani mwanaume wake akimpangia nyumba???

Tena bora yeye anapewa pango la nyumba kuna wengine kutwa kumtusi wema wakati wanaume zao hata 500 ya sabuni hawawapi

(Hahaha binamu leo utanitafuna)

Aache ukahaba, jitu linajiuza ndio liishi vizur, halitak kujituma kazi kumanua ovyo mpaka wamelitoa kizazi kwa kupenda midudu mxiuu, amuangalie mwenzio zari, anachakarika na maisha lenyew kutwa wanaume mpaka wamelitoa kizazi
 
Warumi wewe ndio daktari wake uliyemtoa kizazi????? Watch your tongue binamu.....maneno yanarudi haya. Utaandika kwa chuki litakapokupata utatafuta mchawi wako usimpate

Aache ukahaba, jitu linajiuza ndio liishi vizur, halitak kujituma kazi kumanua ovyo mpaka wamelitoa kizazi kwa kupenda midudu mxiuu, amuangalie mwenzio zari, anachakarika na maisha lenyew kutwa wanaume mpaka wamelitoa kizazi

Anyway... hiyo k unayodai anaimanua ni yako? Si yake??? Wewe si una yako uiuze??

Uk8ambiwa uorov3 ukahaba wake unaweza???

Again chuki hazijengi

Chuki ni sawa na kidonda

Hayo matusi toka muanze kumtukana wema hajachubuka ngozi wala hajalala njaa

Badilika
 
Acha roho mbaya warumi unamchukia mtu asiekujua wala hakuombi kula si kujisumbua huko hata kama anapendwa na watu wasio na akili nao siniwatu we kama unajiona umekamilika utapendwa nawaliokamilika na yy mwache apendwe na wapungufu wa akili kwan ndo anaendana nao mtoe roho basu ili tuone nijinsi gani humpendi au kunya boga nyauuuuuuuu mwenye baka weeee

Drama tu, sio serious kihivyo, usijal
 
dah warumi mi simkubali wema ila we umezidi...!!!
huyo unaempenda ulimpigia kura au ndo mbwembwe tu...
hehu muacheni dada wa watu jamani...
humpendi kutwaa kucha kumzungumzia si ndo unafki huo..!!
tafuta wengine uwazungumzie bass...
km humpendi muache
umesahau ushaanzishaga special thread ya wema...?!!
 
Acha roho mbaya warumi unamchukia mtu asiekujua wala hakuombi kula si kujisumbua huko hata kama anapendwa na watu wasio na akili nao siniwatu we kama unajiona umekamilika utapendwa nawaliokamilika na yy mwache apendwe na wapungufu wa akili kwan ndo anaendana nao mtoe roho basu ili tuone nijinsi gani humpendi au kunya boga nyauuuuuuuu mwenye baka weeee

Hahahahaha warumiiiiiii ucjali ila unatupa ubuyu achana tu na wema bana ama nene
 
Ukiona mtu anasema wema ndio role model wake anamatatizo kichwani akapimwe

Naomba niletee daktari haraka, Wema ni Dada wa Taifa na ni kipenzi cha Watanzania mumuache apumuwe mnataka aishi vipi?
 
we ndi bingwa wa kuleta story za wema humu au umesahau mara hiii
llloooohhh....!!!

We ushawahi kuona wasanii wanaojielewa wanaandikwa humu kwenye umbea? WEma hajielew ndio maana kutwa wanamzungumzia kwenye magazet ya umbea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom