Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 731
- 659
Wakuu wa Mikoa, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
Soma Pia:
Soma Pia:
- Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
- Waziri Mkuu Mwigulu amfariji Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake
- Mbowe amtembelea na kumfariji Rais Samia kufuatia kufiwa na mume wake