Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ok nimekuelewa mkuu,nilikuuliza kuhusu vyakula na vinywaji?
Tuanze na swala la chakula! Sorry unaweza ukalirudia tena Kidogo?
Ok nimekuelewa mkuu,nilikuuliza kuhusu vyakula na vinywaji?
Tayari nimekutumia!
Umeona eeh. Halafu wanakwepa hii kitu sana. Nyie wasabato je, Mnajua historia za waasisi wenu? Mfano Hellen.G.White?
Maswali yangu ilikuwa kuhusu pasaka,embu tueleze wasabato na kufa na kufufuka kwa Yesu,ni kwa nini hamsherekeagi Pasaka,pili ni kwa nini hamtumiagi vinywaji venye gesi?,Yesu aliposema kimwingiacho mtu hakimtii unajisi bali kitokacho kinywani alimaanisha nini?,sorry kwa kutoka nje ya mada(binafsi kunena kwa lugha sikuafiki).
Hakuna sherehe inayofanyika kwenye kifo cha Yesu bali siku aliyofufuka,labda nikuulize nini maana ya Pasaka?Hiyo ndio pasaka Mkuu! Ata Wana Wa Israel kule Misri kabla ya safari walifanya hivyo'
Kifo cha Yesu ni kafara haitupasi kufanya sherehe Ktk kifo cha Yesu Zaidi ya kuomba Na kutubu dhambi km walivyokua wakifanya hapo zamani Ktk hema Patakatifu hapa duniani' lilikua hakuna sherehe Zaidi ya kuomba toba!
Mku bila Shaka swali lako la kuhusu chakula ni hili hapa si ndio?
Ngoja nikutafutie Hiyo sura then tuijadili wote Maana Ktk hili pia wengi wamepota!
Naona mnaongea tu bila ushahidi!
Ok nakusubiria..Mkuu hicho kisa cha kimuingiacho mtu kinapatikana Ktk Mathayo 15:
Ngoja kwanza tumalize la pasaka then tutaendelea na hili!
Ndugu yng jaribu Kua mkweli! Ni wapi nimesema Kua siamini Ktk Roho mtakatifu? Au ni wapi nimempinga Roho? Ebu soma hoja zote taratibu then uje hapa na majibu!
Alafu sikatai kunena kwa lugha Bali nachopinga ni Hiyo mizogo ya makelele ya vitu visivyo eleweka eti mkisema kunena kwa lugha!
Hakuna sherehe inayofanyika kwenye kifo cha Yesu bali siku aliyofufuka,labda nikuulize nini maana ya Pasaka?
2.Kwanini Yesu aliadhimisha karibu na mateso yake?
3.Kwa nini Mungu aliitumia kuwakoa wana wa Israel?,kwa Yesu ilitumika kumuokoa nani na katika mazingira gani?
4.Kama pasaka ilitumika katika ukombozi nini maana ya kufu na kufufuka kwa Yesu?
Usieamini ni wewe 'mbambarkachakacha!! mbulumbulumbul!! krrrr! ndio nini? AMRI kumi za Mungu zilikuwepo,zipo na zitakuwepo.Hata nchi mpya itaongozwa na amri 10.
Pamoja Mkuu..Mkuu Samahani! Naona ni usiku Kidogo Maswali yako ni mazuri sn! Unaonaje km tutaendelea kasho saa 3 au saa 4 asubui Na tutaanzia hapahapa! Maana usingizi umenishika!
Mkuu wasabato ni kweli wanafundisha vizuri sio kama hawa wasanii waliofanya makanisa miradi ya kutapeli watu na uganga
We mfuasi wa Kahaba La Kimarekani Hellen G White ukatoliki umeingiaje hapa...??????? Nakuuliza wewe mwenye laana ya dhehebu la mwanamke mtoka damu......
xxxx The cult xxxx
tofautisha makanisa, yapo makanisa yaliyozaliwa kutokana na tafsiri za kibiblia ila lipo lililozaliwa kabla ya biblia na kuzaa biblia!
Na amri kuu ni hii UPENDO. Hii inabeba nyingine zote. Mungu wetu ni UPENDO (Yohana 3:16 , 1Yohana 3:1-2). Ukishika hiyo sabato yako na hauna upendo ni bure, ok hata ukinena kwa lugha na hauna upendo ni bure. Sabato haitakupeleka mbinguni bali ni YESU KRISTO peke yake.