qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Hakika umenena...niliamua kuwa msomaji tu leo lkn umenifanya nijikute nachangia....
Na hapa kwenye chanzo cha bibilia na makanisa ndipo wengi walipojikwaaa..... Pia ni muhimu kuelewa Yesu aliagiza wanafunzi wakafundishe....sio na pia hakutembea na waandishi wa habari/bibilia na pia hakuna alipoagiza iandikwe....Mwinjili Yohana na Kitabu cha matendo ya mitume vinafafanua vizuri mwanzo wa kanisa na uandishi wa hiyo bibilia.
Kama Yesu hakuagiza kuandikwa Biblia wewe unaamini kwa kutumia kitabu kipi na unauhakika gani yote yaliyoandikwa humo ni ya kweli... Maana kama kila mtu alandika Biblia kwa aliyoyashuhudia hakika kila mwandishi hatafikisha yale yaliyotendwa na kuagizwa na Yesu kwa 100%. Ndio maana habari za Yesu katika Injili nne ukisoma kuna maneno yanakikanga kila mwandishi kaandika kivyake kwa tukio hilohilo moja.
Tofauti na amri za Mungu ambazo zilishushwa kutoka juu.