Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Mkuu ZionGate nimepunguza pilika na niko kwa njia kuelekea home!

Naam! Kuna Maswali niliyaacha kiporo! Kwanza sijui lile la kuhusu chakula limeeleweka au Bado?
Bado haijaisha mkuu,nasubiri mistari niliyokupa ukasema utaipitia
 
Last edited by a moderator:
cjaja kuchekesha hapa mana kwenye station yenu mnasema walokole wanapga kelele na kunena kwa lugha ni mapepo wachafu ndo mana nyie hamna tofaut na muslim haiwezekani wewe ni mtu unayetumia bible useme wengne wanasali kiunafiki kwa ku quote baadhi ya vifungu halafu umejuaje kuwa tunaropoka wewe nashanga ni Mungu gani aliyekupa mamlaka ya ku judge madhehebu mengne eti tunaropoka na wewe una hakika gani kuwa huwa uko sahihi usalipo halafu ndo kazi ya masabato salia mngekuwa mnafata upendo na tunda la roho mtakatifu mungekashifu wengne mana hapo si upendo wa kweli kukashifu wengne au huyo ndo mungu wenu anavowatuma halafu usipo tumia akili eti mimi niwe mtoa roho mtakatifu something which is imposible Yesu ndo mwenye mamlaka mana alituachia msaidizi

Mkuu Sayuni Ebu nisaidie ni wapi tumetoa kashfa kwenu? Au kusema ukweli ndio imekua kashfa?

Kwa mfano sisi hapa tangu mwanzo Wa mada tumekua tukitoa hoja kwa ushahidi Wa maandiko! Sasa hizo kashfa ziko wapi?

Mfano mwingine nyie mnasema uongo juu yetu kwamba hatuamini Ktk Roho na wakati sisi Wasabato tunaamini Ktk UTATU yani Mungu baba, Mwana na Roho, Mbona sisi hatulalami eti mnatukashifu?

Mnasema uongo tena kwamba wasabato hawatambui agano jipya na wakati sisi tunatambua maagano yote na biblia yote na ndio tunatumia makanisani Kwetu! Mbona hatulalami Km mnatukashifu?

Sisi ni kusema ukweli tu, Iwe juu yetu au juu yenu! Na tunatumia maandiko kujibu hoja Na si maneno tu!
 
Mkuu ZionGate nimepunguza pilika na niko kwa njia kuelekea home!

Naam! Kuna Maswali niliyaacha kiporo! Kwanza sijui lile la kuhusu chakula limeeleweka au Bado?

Mkuu ntuzu nami nishaingia hapa, huyu ZionGate aangalie page 29 kuna swala la 1 Wakorintho 10:25 vyakula sokoni nimelijibu hapo kama ndo itakuwa shida yake!
 
Wapendwa Ntuzu, Basluma Original, Blueband na wengineo naomba mpitie haya mafungu... Kama watu hawawaelewi basi achaneni nao.....

Tito 3:9 " Laki maswali ya upuzi ujiepushe nayo na nasaba na magomvi na mashindano ya sheria kwa kuwa hayana faida tena hayana maana...

Mithali 15:28 "Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya."
 
Last edited by a moderator:
Hapa mtoa mada hajui anachokiongea fuatilia biblia na uishi kwa neno aliloagiza mungu siyo kufanya mikusanyiko ya vilio na kupayuka hovyo makanisani
 
Wapendwa Ntuzu, Basluma Original, Blueband na wengineo naomba mpitie haya mafungu... Kama watu hawawaelewi basi achaneni nao.....

Tito 3:9 " Laki maswali ya upuzi ujiepushe nayo na nasaba na magomvi na mashindano ya sheria kwa kuwa hayana faida tena hayana maana...

Mithali 15:28 "Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya."

Tatizo linakuja pale Wasabato mnapolazimisha watu waamini mnachoamnini kuwa ndio kweli....

Mara nyingi nimemwambia ndugu yangu Ntuzu kuwa 'kweli kwake yaweza kuwa siyo kweli kwangu daima mpaka naingia kaburini...' kwahiyo asipende kulazimisha....

Wacha sisi tuone wenyewe na ku-appriciate sio kulazimisha.....

"speech is Silver but Silence is Gold"...Pope Francis
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom