Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,350
- 108,459
Mkuu nahisi una hoja nzuri!
Yesu anasema Nira yake ni laini! Alafu Wewe wasema ni ngumu sn! How Mkuu?
Mkuu nimeandikwa ya kwamba ni ngumu sana kumuelewa Mungu lakini sikuandika kuwa ni ngumu kumfuata Mungu...
Kumfuata Mungu ni jambo jingine na kumuelewa Mungu ni jamo jingine, unaweza ukawa unamfuta Mungu lakini humuelewi...
Kwa kifupi UADILIFU au UKAMILIFU wetu kwa Mungu unategemea sana ni kwa kiasi au namna gani tunamuelewa huyu Mungu...
Katika Biblia Takatifu kuna maandiko haya hapa:
Isaya 55:
8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.
9 Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.