Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Kuhusu sabato tusome kutoka12;16, Matendo 20;7 Mungu aliagiza kupumzika siku ya kwanza juma na siku ya saba ya juma ambazo ni jumapili na jumamosi. Na Paulo alimega mkate na kuhutubu siku ya kwanza ya juma, maana yake walifanya ibada siku ya jumapili. Kuthibitisha siku ya kwanza ya juma soma Marko16;1-2 baada ya sabato kupita siku ya kwanza ya juma ndiyo siku aliyofufuka Yesu Kristu. Sasa wasabato wana ushirika na yule mpinga Kristu? Kwa sababu wanadai tunaoabudu j'pili tunabadili majira na nyakati,tena wakrisu wenzao wakati Mungu ameagiza kupumzika j'mosi na j'pili,na mitume waliabudu j'pili inakuwaje wakati kuna jamii ambayo haiabudu j'pili wala j'mosi hawaisemi ila wakristu wenzao wanaofuata maandiko? Tunajua shetani adui yake mkubwa ni kanisa je ameshapata sehemu ya kushambulia kanisa? Wasabato mnanitisha

Mkuu Naona unaongea vitu via ajabu tu tena bila maandiko!

Mungu ametuagiza kupumzika Siku ya Saba na ni sabato Yake! Wapi Ktk maandiko tumeagizwa kupumzika Siku ya kwanza ya Juma?
 
Mkuu kabla sijaingia kwenye kukujibu hoja yako kwa kirefu naomba unijibu hili swali

Kabla ya Yesu kuja duniani Torati ilikuwa imehubiriwa sehemu nyingine za Dunia tofauti na Israel?

Kabla ya Yesu kuja duniani, torati ilikuwa imeshahubiriwa katika mataifa mengine(si yote maana hata sasa katika maeendeleo makubwa, bado neno la Mungu halijamgikia kila mtu). Mfano wa mataifa ni Babeli(rejea tangazo la Nebkadteza naada ya vijana watatu wa kiyahudi kutokuteketea ndani ya moto). Pia alitangaza Mungu wa Danieli aabudiwe na ndio mara baada ya kumalizika miaka 7 ya kukaa porini kamma wanyama. Pia waisraeli(makabia kumi ya kaskazini yalipotekwa na kupelekwa shamu), ililazimu apelekwe kuhani kuwafundisha watu habari za Mungu wa nchi(kumbuka waaliletwa watu wa mataifa kama mbadala katika israeli lakini kwa kuwa hawakujua taratibu za Mungu na hivyo simba wakawararua sana). Mifano ipo mingi, rejea pia Yona akiwa baharini kukimbilia Tarshishi.
 
Mkuu usinielewe vibaya! Bado uko na Maswali mengine?

Umezungumza kusheherekea kufa na kufufuka kwa Yesu hapo una Maana gani Mkuu? Yani kile Kitendo cha Yesu kufa na kufufuka ndio Maana ya sherehe ya pasaka?
Nikuombe ufafanuzi Kidogo kabla sijaanza kujibu!
Wayahudi walisheherekea pasaka kwa kuchinja mwanakondoo kwa kuwatoa wazaliwa wa kwanza,pia mikate isiotiwa chachu kwa wakulima kama sadaka,Yesu kupitia mateso,kifo msalabani na ufufuko ndio sadaka ya ukombozi(yaani Pasaka),swali langu kwanini hamsherekei iyo pasaka?,pia kwa nini hamuamini juu ya ufufuko?
 
Ok, Kwa hiyo wasabato ni wafarisayo au wasadukayo? Alafu naomba unisaidie mistari inayoelezea kuwa Yesu alienda kusali kwenye Sinagogi nataka niisome zaidi.

Soma mwenyewe hili fungu Luka 4:16.
 
It lawful to do good in sabbath day!
But for those I knw they aren't cook on that day even if ther's emergency hafanyi chochote mpaka kesho yake hata ukiwaomba kitu hawakupi siku ya sabato na vyote ni mambo mema..
 
Wayahudi walisheherekea pasaka kwa kuchinja mwanakondoo kwa kuwatoa wazaliwa wa kwanza,pia mikate isiotiwa chachu kwa wakulima kama sadaka,Yesu kupitia mateso,kifo msalabani na ufufuko ndio sadaka ya ukombozi(yaani Pasaka),swali langu kwanini hamsherekei iyo pasaka?,pia kwa nini hamuamini juu ya ufufuko?

Mkuu Samahani kwa kukuuliza swali Lkn nitakujibu Maswali yako yote Vzr!

Yesu aliopokua duniani alifanya pasaka na akatuagiza kufanya hivyo kwa kumkumbuka yeye! Kuna mafungu hapo nyuma wenzangu wameweka juu ya hili! Jee hii pasaka aliifanya kabla ya kufa au baada ya kufa?

Na ufufuo gani unaouzungumzia? Wa Yesu au ule ujao?

Km ni Wa Yesu tunaamini kwamba alifufuka! Na tunaamini kuna ufufuo baada ya kifo!
 
But for those I knw they aren't cook on that day even if ther's emergency hafanyi chochote mpaka kesho yake hata ukiwaomba kitu hawakupi siku ya sabato na vyote ni mambo mema..

Ukiniomba jembe uende ukalime Siku ya sabato bila Shaka sitokupa! Lkn ukija na njaa ntakupa chakula!

Soma Isaya 58:13 itakusaidia kuelewa namna ya kutunza sabato!
 
Mkuu Samahani kwa kukuuliza swali Lkn nitakujibu Maswali yako yote Vzr!

Yesu aliopokua duniani alifanya pasaka na akatuagiza kufanya hivyo kwa kumkumbuka yeye! Kuna mafungu hapo nyuma wenzangu wameweka juu ya hili! Jee hii pasaka aliifanya kabla ya kufa au baada ya kufa?

Na ufufuo gani unaouzungumzia? Wa Yesu au ule ujao?

Km ni Wa Yesu tunaamini kwamba alifufuka! Na tunaamini kuna ufufuo baada ya kifo!
Kabla ya kukujibu laabda uniambie nini maana ya Pasaka?,kwangu mimi pasaka ilikamilika alipokufa na alipofufuka alitupatia uzima mpya,lile ni tendo moja lililohitaji ukamilifu huo..
 
Ukiniomba jembe uende ukalime Siku ya sabato bila Shaka sitokupa! Lkn ukija na njaa ntakupa chakula!

Soma Isaya 58:13 itakusaidia kuelewa namna ya kutunza sabato!
Jembe naenda kuchimba muhogo wa kula,kwani Yesu aliposema kuhusu mifugo kunywa maji haikuwa kazi?
 
Kabla ya kukujibu laabda uniambie nini maana ya Pasaka?,kwangu mimi pasaka ilikamilika alipokufa na alipofufuka alitupatia uzima mpya,lile ni tendo moja lililohitaji ukamilifu huo..

Mkuu ningekuomba unijibu kwanza kwamba Yesu alifanya pasaka wakati gani? Kabla ya kufa au baada? Tendo la kufa Yesu au kufufuka si sherehe kwasababu Yesu alikufa km kafara!
 
Jembe naenda kuchimba muhogo wa kula,kwani Yesu aliposema kuhusu mifugo kunywa maji haikuwa kazi?

Nasema hivi km unaniomba jembe ukalime siwezi kukupa! Ebu angalia majibu ya Yesu juu ya Hilo bila Shaka utaona kusudio la Yesu ni kutenda mema!
 
Wayahudi walisheherekea pasaka kwa kuchinja mwanakondoo kwa kuwatoa wazaliwa wa kwanza,pia mikate isiotiwa chachu kwa wakulima kama sadaka,Yesu kupitia mateso,kifo msalabani na ufufuko ndio sadaka ya ukombozi(yaani Pasaka),swali langu kwanini hamsherekei iyo pasaka?,pia kwa nini hamuamini juu ya ufufuko?

duuuh...! mungu katolewa sadaka !
 
Mkuu ningekuomba unijibu kwanza kwamba Yesu alifanya pasaka wakati gani? Kabla ya kufa au baada? Tendo la kufa Yesu au kufufuka si sherehe kwasababu Yesu alikufa km kafara!
Kabla ya kufa kwake..
 
Tatizo lenu mnadhani kristo alipoahodi kumleta roho, ni kwa ajili ya kupigisha watu makelele kanisani, kumbe Yesu aliahidi roho kwa kusema yafuatayo toka kitabu cha Yohana 16:7,8
John 16:7-8 Nevertheless, I tell you the truth: It is expedient for you that I depart; for if I go not away, the Comforter will not come to you; but if I depart, I will send him to you. And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment:

We soma matendo 4:24-30, halafu utajijibu mwenyewe.
 
Nasema hivi km unaniomba jembe ukalime siwezi kukupa! Ebu angalia majibu ya Yesu juu ya Hilo bila Shaka utaona kusudio la Yesu ni kutenda mema!
Ok nimekuelewa mkuu,nilikuuliza kuhusu vyakula na vinywaji?
 
Kabla ya kufa kwake..

Hiyo ndio pasaka Mkuu! Ata Wana Wa Israel kule Misri kabla ya safari walifanya hivyo'

Kifo cha Yesu ni kafara haitupasi kufanya sherehe Ktk kifo cha Yesu Zaidi ya kuomba Na kutubu dhambi km walivyokua wakifanya hapo zamani Ktk hema Patakatifu hapa duniani' lilikua hakuna sherehe Zaidi ya kuomba toba!
 
Yani Mkuu wangu hapo ndipo lilipo tatizo la hawa Wasabato....(CULT)...Yani wao wanajiona wanajua kila kitu..Wakati mi nawaona ni wapuuzi tuu....Hawa watu mi nawadharau kupita maelezo....

xxxxxx The cult xxxxxxx

Umeona eeh. Halafu wanakwepa hii kitu sana. Nyie wasabato je, Mnajua historia za waasisi wenu? Mfano Hellen.G.White?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom